Picha:mnyika kabla hajawa mbunge..

Picha:mnyika kabla hajawa mbunge..

Noma, dogo alikuwa mtiifu sana
Lakini tumetoka mbali sana.

Nimeipenda picha
 
ni kweli ulitamani awe na kitambi kama komba ndio ufurahi. Mnyika anakumbuka aliko toka ndio maana anapigania maslai ya wanyonge

nmecheka sana baba kayemba..
 
ubunge mtamu,sasa ndio nimejua sababu ya vijana kujitosa kwenye siasa. Dogo alikua choka mbaya namna hii. Siku hizi kajua hata kuvaa vizuri.

inawezekana alikua anajua kuvaa vizuri lakin alikua hana uwezo huo..
 
Ubunge mtamu,sasa ndio nimejua sababu ya vijana kujitosa kwenye siasa. Dogo alikua choka mbaya namna hii. Siku hizi kajua hata kuvaa vizuri.

Acha dhihaka kwa ushabiki wa kisiasa. Hivi ulidhani ataendelea kuwa vile alivyokuwa?
 
Ubunge mtamu,sasa ndio nimejua sababu ya vijana kujitosa kwenye siasa. Dogo alikua choka mbaya namna hii. Siku hizi kajua hata kuvaa vizuri.
Kweli mkuu sawa na Vasco baada ya kuingia magogoni, akahongwa Suits za kuvaa safari za nje au mikutano ya kimataifa
 
jiongeze wewe.Licha ya kwamba sina uhakika na hoja yako,lakini mmoja akinya sebuleni na wewe unakunya sebuleni kisa mwenzako kafanya.akili za kutazamia changanya an zako!

Lol, mimi mzaliwa maji chumvi yakhee..., sisi huku kwetu vyoo tumevizoea kwa karne kadhaa. Hayo mambo ya kunya nyikani na kujipangusa na udongo yaacheni huko huko kwenu Dongobesh, sijui karatu huko; na msiyalete huku.
 
1011576_560271317368681_2116201924_n.jpg

HAPO PANA NA JOHN MNYIKA NA MBOWE..
ilikua mwaka 2006 baada kuibiwa kura na keenja. hapo walikua katika kikao cha kubadilisha katiba ya cdm.
 
jiongeze wewe.Licha ya kwamba sina uhakika na hoja yako,lakini mmoja akinya sebuleni na wewe unakunya sebuleni kisa mwenzako kafanya.akili za kutazamia changanya an zako!

Mkuu achana naye huyo, anafikiri kwa kutumia nyuma yake!!
 
Mbunge wangu......!!

Sent from my BlackBerry 9300 using JamiiForums
 
Kweli wewe mgonjwa au unaumwa ugonjwa wa kumuota Dr Slaa. Unashindwa kujua kawa mbunge muda gani kabla hajagombea urais/

Tatizo liko wapo? Mbona Slaa kajiunga chadema jumatatu na ijumaa amekuwa mgombea urais?
 
Back
Top Bottom