Picha:mnyika kabla hajawa mbunge..

Picha:mnyika kabla hajawa mbunge..

Ubunge mtamu,sasa ndio nimejua sababu ya vijana kujitosa kwenye siasa. Dogo alikua choka mbaya namna hii. Siku hizi kajua hata kuvaa vizuri.

Weka na wewe picha zako za zamani tukuone ambavyo haukua'choka mbaya'
 
Choka mbaya...
...si unajua dogo mtafutaji kwa haki mwanzo na mafanikio yake yako wazi kabisa sio nyie mtu akipata ubunge/urais gafla watoto mpaka watu aliotoka nao kijijini wanakuwa mamilionea kama prince riz, unga si mchezo...
 
ahaaa sagas kwel CDM imewapofusha watu. yan hadi vitu vibaya wanaona ni vizuri ..!
 
tatizo hukusoma mambo ya sayansi ungeishia huku uliko ikuta maana hayo ndiyo maendeleo kijamii, kiuchumi na kisiasa
 
watu chama wamekitoa mbali cheki mkutano cjui huu ulikuwa! wamejaa watoto, leo asante Mungu kwenye kutano wa CDM hata pa kukanyaga hamna.
 
Tatizo liko wapo? Mbona Slaa kajiunga chadema jumatatu na ijumaa amekuwa mgombea urais?

Sasa naamini kweli bila kumtaja Slaa huko Lumumba hakuna malipo. Duh! Masharti magumu kweli aisee.

Sent from my BlackBerry 9860 using JamiiForums
 
Loo kweli madaraka mazuri siku izi na rangi anayo duu hapo choka mbayaaaa
 
Hii nayo ni hoja jamani forget sake.....


1011576_560271317368681_2116201924_n.jpg

HAPO PANA NA JOHN MNYIKA NA MBOWE..
 
Safi sana, from scratch dadadadadadeki.Mkoloni mweupe mbona aliondoka ndiyo ije kuwa huyu mkoloni mweusi??
 
Ubunge mtamu,sasa ndio nimejua sababu ya vijana kujitosa kwenye siasa. Dogo alikua choka mbaya namna hii. Siku hizi kajua hata kuvaa vizuri.
Kumbe tatizo lako ni maslahi, mfuate Mwigulu
 
Back
Top Bottom