Picha: Mmiliki wa Home shopping centre

Picha: Mmiliki wa Home shopping centre

Boflo

JF-Expert Member
Joined
Jan 20, 2010
Posts
4,383
Reaction score
4,412
Mwenye picha ya huyu jamaa naomba atuwekee
 
Last edited by a moderator:
try this option:type jina lake bila kukosea au biashara zake anazohusika nazo google images then press search.
 
Boflo na wewe.........umekuwaje......?
 
Last edited by a moderator:
Hii ni Chuki tu Kama Suala ni Tuhuma Kwa Nini Amwagiwe Tindikali??? Mfano Wangapi wamewahi kuwa na Tuhuma Mbali Mbali Nchi Hii Walimwagiwa Tindikali?? Fungueni Macho! Fungueni Akili! Acheni Chuki na Fitna Wapo Watu Kwenye PAYROLL wamefungua Akaunti JF,kuna Media Houses nk nk Ambazo Zimepewa Kazi Maalum Ya Kuchafua HSC lengo Atoke Kwenye Biashara ,Watoto wa Mjini Atoke kwenye Reli ,Yataandikwa Mengi SENSATIONALY lakini Ukweli UTATAMALAKI.------- "SYNDICATE" hii ya Uovu Kamwe Haitoushinda Ukweli Juzi juzi Imevumishwa Kontena za HSC zimekamatwa Bandarini Wakati Ukweli ni za Wafanyabiashara Tofauti zaidi ya 2000 KAMISHNA WA FORODHA amethibitisha Hilo!! Baadhi ya Watu walio kwenye Payroll ya UDHALIMU wakionyesha ni za HSC nendeni TRA mkathibitishe kama ni zao! Mnadanganya watu kwenye Mitandao Kujenga CHUKI tu,Fitna tu! Mnatumiwa Pasina Kujua kwa Chuki za Kibiashara tu.--------- Hivi Hawa Vijana Imekuwa Dhambi kuwa Wabunifu wakitafuta RIZKI!? Wanachukiwa kwa Mafanikio yao?? Wangapi walikuwa a Nothing Miaka 20 Iliyopita Leo ni Matycoon Nchi Hii?? Hamuwaoni?? Imekuwa Nongwa Kwao Kupata Utajiri kwa Wengine Ndio Halali???
 
...huyu jamaa si wamemvuruga sura na tindikali kama za kijana wake mwigulu,huwezi kupata sura halisi...
 
Kwa hiyo kupata utajiri ndio kigezo cha kupiga watu risasi ovyo na kulawiti, kwani tajiri ni yeye, mbona watu hawamsemi vibaya Ali Mufuruki na wengineo wa aina hiyo,
 
Tena ujue waliomwagia tindikali sio wanaomtuhumu, bali aliowalawiti, wengine kuwajeruhi kwa risasi na wale aliowadhulumu kibiashara, usicheze na maisha ya kutengeneza maadui, ipo siku watakurudi tu hata uwe na nguvu kiasi gani, kamsaidie sasa, si tajiri
 
Kwa hiyo kupata utajiri ndio kigezo cha kupiga watu risasi ovyo na kulawiti, kwani tajiri ni yeye, mbona watu hawamsemi vibaya Ali Mufuruki na wengineo wa aina hiyo,
Utajiri wake wala haunisaidii kitu mimi. Ila matendo yake ndiyo yanayoathiri jamii kwa ujumla na kujemgewa chuki na wala si fitna za kibiashara.
 
Back
Top Bottom