PICHA: Mkutano wa CHADEMA Mbeya

Status
Not open for further replies.
attachment.php
 
Mambo yameshachangamka hapa mafiati Mbeya, maeneo ambayo maandamano yataanzia, watu wanazidi kuongezeka na gari la matangazo linapiga wimbo SLAA ANAWEZA.
 
Mambo yamechangamka maeneno ya mafiati Mbeya, eneo ambalo maandamano yamepangwa kuanzia, watu wanazidi kuongezeka,
gari la matangazo linapiga wimbo SLAA ANAWEZA.
 
Mkuu Jembe Afrika, punguza hasira kwa mijitu ya ccm iliyojitoa ufahamu. Umetumia "gongo ya mama yako" kama Mod. angejua maeno hayo kwa lugha ya Kinyiha au Kimalila hapa ungekula Ban.

kamanda ndyali watu wanaboa xana.sijui wamelogwa na ccm
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom