wana maana gani, wanamuombea afe, wanamuombea atolewe uanachama au nini, mbona inaonyesha roho mbaya sana jamani hata kama tunatofautiana katika mwelekeo wa kisiasa, ndio uandike "BURIAN SOMEBODY" ambaye bado hajafa, its not fare.
Nadhani hawajaelekezwa wafanye hivyo, na viongozi wakiwaona wawaambie waachane na hilo jambo. Tofauti dhidi ya ZZK sio kwenye mambo ya maisha, ni vitu vingine kabisa ambavyo wala havihitaji kumnyanyasa kihivyo
wana maana gani, wanamuombea afe, wanamuombea atolewe uanachama au nini, mbona inaonyesha roho mbaya sana jamani hata kama tunatofautiana katika mwelekeo wa kisiasa, ndio uandike "BURIAN SOMEBODY" ambaye bado hajafa, its not fare.
Unaukumbuka wimbo tuliokuwa tunauimba dhidi ya Idd Amin? Ni kama Zitto namuimbia, .....hata akifa hatuwezi kulia tutamtipa kagere akawe chakula cha mamba...
wana maana gani, wanamuombea afe, wanamuombea atolewe uanachama au nini, mbona inaonyesha roho mbaya sana jamani hata kama tunatofautiana katika mwelekeo wa kisiasa, ndio uandike "BURIAN SOMEBODY" ambaye bado hajafa, its not fare.
Amekufa kisiasa. Kama unabisha kamuulize Nabii wenu Shehe Yahaya aliyetoa ufafanuzi kuhusu atakayempinga Kikwete atakufa. Alipohojiwa na BBC akafafanua kwamba Shibuda ndiye aliyempinga Kikwete na sasa Amekufa "Kisiasa".
Kiboko ya magamba na mizigo hawalali n wanapost utumbo. SWAPO wa tu wanasoma vyuo vikuu lakini WAPO gizani kama kuku wa kisasa kwa kushabikia ccm. wengine utadhani vichaa ama punguani
Hivi ni Viwanja vya Docta Slaaa jijini mbeya ambapo leo Maandamano yataanzia Mafyati T.i.a kuja viwanja hivi maandamano yataongozwa na katibu mkuu Docta Slaa Msigwa Sugu Mzee wa upako na makamanda wengine wengiView attachment 134435