PICHA: Mkutano wa CHADEMA Mbeya

PICHA: Mkutano wa CHADEMA Mbeya

Status
Not open for further replies.

kamanda wa kamanda

Senior Member
Joined
Oct 12, 2013
Posts
191
Reaction score
75
Hivi ni Viwanja vya Docta Slaaa jijini mbeya ambapo leo Maandamano yataanzia Mafyati T.i.a kuja viwanja hivi maandamano yataongozwa na katibu mkuu Docta Slaa Msigwa Sugu Mzee wa upako na makamanda wengine wengi


attachment.php



---------------------

attachment.php


attachment.php
 

Attachments

  • ImageUploadedByJamiiForums1390635592.894250.jpg
    ImageUploadedByJamiiForums1390635592.894250.jpg
    80.4 KB · Views: 14,792
Mzee umri wake kwa sasa ni zaidi mara tano ya umri wa ccm mpaka anachekesha akiwa jukwaani alivyochoka kisiasa.
 
kamanda wa kamanda
Jitahidi ulete kila hatua inavyokuja;
Magamba mwaka huu limewaganda mpaka wanaanza kuitana Mizigo.
 
Last edited by a moderator:
Daaa nazidi pishana na gari la mshahara jamani sitokuwepo
 
Hapo Mbeya ukitaja ccm unapigwa tu,ukitamka neno Rais wanamalizia Sugu...
Iyo ndio chadema
 
JF wangekuwa wanatoa tuzo kwa habari zilizotamba mwaka2013/14 bs tuzo hyo ilikuwa halali kabisa kwenda kwa CDM.

Hongera katibu mkuu wa chama kubwa,my hero,the person who made me love chadema,pamoja na kamanda wa anga,mti mkavu,jino kwa jino kwa hatua yenu ya kuifanya taasisi hii iwe kama ilivyo leo bila kumsahau x naibu,juhudi zako siwezi kuzipuuza japo unaweza fanya mazuri kwa %99 ila yakaja haribiwa na %1 tu(Godbless you)


Acha M4c pamoja daima endeleee
 
Hivyo viwanja vya shule angalieni visichimbike aaaaaaaaàha nilikuwa nimesahau kuwa ofisi za kata zipo jirani big up.
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom