View attachment 133830
View attachment 133835
View attachment 133838Mkutano wa leo kanda ya Magharibi, VIWANJA VYA UYUI SEKONDARI -TABORA..
Wakati CCM wanaendesha propaganda kwamba CHADEMA inatumia ruzuku vibaya, wakati ambapo buku7 FC wanasema watu wanaenda kushangaa chopa, CHADEMA DAIMA inasonga mbele kuzidi kuwaamsha watu watambue haki zao za kimsingi wanazodhurumiwa na CCM.
Nahisi uchaguzi wa mwaka 2015 matokeo yatakuwa kama ifuatavyo:
CDM 69%; CCM 21%; CUF 6%; NCCR 3% ......Vyama vilivyobaki 0.000002%
Chadema mpango wa mungu
Bavicha acheni kumdhihaki mungu...!!
Mungu gani anaeweza kutoa baraka kwa viongoz walioasi kutumikia kazi yake na kuzama kwenye zinaa??
Ni mungu gani anaeweza kutoa baraka kwa viongoz walioacha kutumikia ufalme wake kama slaa kisha akawa ananadi kwamba akipewa ikulu ataruhusu uuzaji wa pombe haramu ya gongo wazi wazi??
Chadema ina laaana ya mungu

Deo Filikunjombe na Kangi Lugola wanaingia chadema