PICHA: Mkutano wa CHADEMA Jijini Arusha, Sept 25, 2012

Crashwise

JF-Expert Member
Joined
Oct 23, 2007
Posts
22,227
Reaction score
8,760
Mkutano wa chama cha demokrasia na maendeleo katika picha, mkutano huo umefanyika baada ya ukuzuiwa kwa takribani siku nne kwasababu mbalimbali ikiwemo kunyimwa uwanja wa NMC na Leo umefanyika kwenye stand ndogo ya Nduruma karibu kabisa na hospitali ya Levolosi..

Ikumbukwe chama cha CUF juzi jumapili kilishindwa kufanya mkutano wake kwenye uwanja wa soko la Mbauda baada ya kukomea watu kumi na moja tu.




Kamanda Lema akiwa na Kamanda Joshua Nasari..


Kamanda Nasari akiongea na wakazi wa mjini Arusha...


Allly Bananga huyu ni kamanda aliyetokea kwa magamba anakuja kwa fujo sana kifupi nijembe...

====================

Tanzania hakuna usalama wa taifa, kuna usalama wa majambazi

Lema: Makamanda hamuhitaji degree wala phd kudai haki zenu

Tarehe mbili mwezi wa kumi tutakuwa mahakamani, watakuwepo makamanda wa chama akina lissu, mbowe na dr.
 

Attachments

  • DSCN2260.JPG
    601.9 KB · Views: 614
  • DSCN2258.JPG
    554 KB · Views: 449
  • lema-25-9-2012-2.jpg
    89.8 KB · Views: 4,768
  • lema-25-9-2012-0.jpg
    104.9 KB · Views: 4,603
  • lema-25-9-2012-1.jpg
    90.7 KB · Views: 4,519
  • bananga-25-9-2012.jpg
    105.1 KB · Views: 4,434
  • lema-25-9-2012-3.jpg
    93.4 KB · Views: 297
  • arusha-25-9-2012.jpg
    71 KB · Views: 296
-katika mkutano huo Lema amewaasa wamachinga kutokugombana wao kwa wao baada ya wengine kupatiwa eneo la kufanyia biashara huku wenzao wakikosa na waliopata hawaonyeshi kuwa hangaikia wenzao.
-amewaomba watanzania wote wapenda haki wa ombe siyo lema kurudishwa ubunge bali haki itendeke.
-Kambeni za uchuguzi mdogo zitanza tarehe 03.10.2012
 
Ha ha ha, CUF bwana, eti ndio walisema wanakuja kuvunja ngome ya chadema Arusha, naona wamerudi kimya kimya kwa mume wao wakamwambia, 'labda uende wewe sisi tumeshindwa'.
 
Sasa wewe crashwise mkutano wa cuf na chadema inahusianaje? Au ni kwa vile cuf hawakupata watu.
 
people power ni mwendo wa m4c till T2015cdm.viva cdm
 

Attachments

  • 209024_4777860410733_1601131240_o.jpg
    448.5 KB · Views: 285
Siasa za Arusha twazijua wana-Arusha, siyo zile za kufunga ndoa then unatoka nje na kusema bwanangu mbaya while usiku waenda lala naye na wana wamzalia. CUF bhana! Nway nilikuwepo na ule umati ni ishara ya weledi wa wana-CDM Arusha. CDM 4EVER.
 
sasa hawa jamaa CCM si ndio watachukia kabisa, utasikia uwanja huu noa sas tunawaleta wakina mama
 
Hakika Arusha ni CHADEMA na tunapaswa kutafuta uwanja wa kufanyia mikutano maana sioni uwanja hapa mjini unao weza kukizi mahitaji ya chadema....
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…