kibogo
JF-Expert Member
- Apr 1, 2012
- 9,739
- 4,746
Mwaka huu kwa Msigwa umekuwa mwaka wa kudhalilika sana hasa pale alipotoa hotuba ya UDAKU kwenye Bunge la bajeti!!!
Mungu amsaidie mwakani apate nafuu kidogo...
Kwa hiyo kwa akili zako zilivyo finyu kwa umati huu unaona amedhalilika kweli wewe akili zako zimehama na ile kitu ya akina Jack Clief na Ag. Masogange imekualibu