Ukiona Slaa weka mbali wake za watu
Kati ya majina haya shetwani, mzigo na gamba, je lakufaa?
Ukiona Slaa weka mbali wake za watu
Mwaka huu kwa Msigwa umekuwa mwaka wa kudhalilika sana hasa pale alipotoa hotuba ya UDAKU kwenye Bunge la bajeti!!!
Mungu amsaidie mwakani apate nafuu kidogo...
Naona hoja zimewashinda chadema na sasa mmekuwa interested na picha tu
peopleeeeeeeeeeeeeeeeee
We mbumbumbuUkiona Slaa weka mbali wake za watu
Pole sana msigwa
Hakuna Mwenyekiti wa Mtaa CCM.........Kajipange upya.......
Mkuu, hao watu ukiamua kuhesabu hawafiki hata 300
Hakuna Mwenyekiti wa Mtaa CCM.........Kajipange upya.......
Huo tunaita wivu wa kike!!!! Ni aibu mwanaume kumuonea wivu mwanaume mwenzako.