kamandamakini
Senior Member
- Feb 17, 2012
- 186
- 151
Huo tunaita wivu wa kike!!!! Ni aibu mwanaume kumuonea wivu mwanaume mwenzako.Mwaka huu kwa Msigwa umekuwa mwaka wa kudhalilika sana hasa pale alipotoa hotuba ya UDAKU kwenye Bunge la bajeti!!!
Mungu amsaidie mwakani apate nafuu kidogo...
Mwaka huu kwa Msigwa umekuwa mwaka wa kudhalilika sana hasa pale alipotoa hotuba ya UDAKU kwenye Bunge la bajeti!!!

Yule NDONDOCHA wa kule UK Chris Mikosi akiona hii tumbo joto na ndoto zake zinafifia

Mkuu, hao watu ukiamua kuhesabu hawafiki hata 300jielekeze kwenye mada acha porojo ebu tuambie ni mbunge gani wa ccm anaweza kusimamisha shazi kama hilo?