Huwezi kumfananisha zito na mtu kwa kuwa Mungu ameumba kila mtu kwa jinsi yake. Ni mtu asiyeheshimu maamuzi ya taasisi ndo maana amepewa Kiongozi mkuu ili asipigwe na yeyote ACT. Watu kukusikiliza sio kukuelewa. Ingekuwa hivyo angemwacha kwa mbali mpinzani wake ktk jimbo lake 2010. Mawazo ya watu ni variable.