KIGENE
JF-Expert Member
- Jan 22, 2011
- 1,551
- 813
Mi naona hata afadhari ya hawa angalau wataonja jela je wale walioambiwa warejeshe walichoiba halafu wasamehewe,kati yetu nani alijua nani alirudisha nini mpaka akasamehewa au nani hakurudisha kabisa lakini akaonja msamaha wa mwenye kigoda.
Na katika hali ya kimangumashi ya namna hii huyo mtoa msamaha hawezi kusogeza influence yake hata mahakamani?
Na mahakimu si wajinga wanapima upepo unakoelekea.
Na katika hali ya kimangumashi ya namna hii huyo mtoa msamaha hawezi kusogeza influence yake hata mahakamani?
Na mahakimu si wajinga wanapima upepo unakoelekea.