HIZI NI BAADHI YA PICHA ZA JIJI LA LUANDA NCHINI ANGOLA, NGOJA TUONE JINSI GANI WALIVOPIGA HATUA KUMBUKA HAWA ANGOLA NI MIONGONI MWA NCHI ZINAZOTOA MAFUTA KWA WINGI DUNIANI.
Tanzania sisi miundombinu yetu tulishaiharibu toka enzi za kale sasa hivi hatuwezi kuwa na sehemu kama hizo hata iweje.Labda tuweke Dozer toka Kimara mpk Ferry then tuanze fresh.
hii sijui n bus stop sijaona wale wauza pweza au wale wamachinga wapa ga vitu chini kwenye stend ina maana hawa jamaa hata yale maji ya azam au kiloba hapo stend hayauzwi au juice ya miwa uwiiii huko sitaweza kuish bora hapa shamban kwa bibi
Tanzania sisi miundombinu yetu tulishaiharibu toka enzi za kale sasa hivi hatuwezi kuwa na sehemu kama hizo hata iweje.Labda tuweke Dozer toka Kimara mpk Ferry then tuanze fresh.
ngudu yangu kw mji kama Dar huenda ikatugharim sana lakini kuna miji inayokua kwa kasi kama Mwanza,Arusha,Mbeya na Dodoma serikali ikiamua kuipangilia hii miji mapema tunaweza kuwa mara mbili ya jiji la luanda
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.