PICHA: Mh Rais Dr. Jakaya Kikwete Katika Kikao Cha Kazi


at.jpg



at1.jpg

Wajumbe wakichangia katika kikao cha kazi (retreat) cha siku tatu cha Mawaziri, Manaibu Mawaziri na maafisa waandamizi wa serikali wanaokutana kujadili mikakati endelevu na utekelezaji wa sasa na wa baadae ukumbi wa St Gaspar mjini Dodoma
at2.jpg

Rais Jakaya Mrisho Kikwete akiongoza kikao cha kazi (retreat) cha siku tatu cha Mawaziri, Manaibu Mawaziri na maafisa waandamizi wa serikali wanaokutana kujadili mikakati endelevu na utekelezaji wa sasa na wa baadae katika ukumbi wa St Gaspar mjini Dodoma. Pamoja naye meza kuu ni Makamu wa Rais Dkt Mohamed Ghalib Bilali (kulia) na Katibu Mkuu Kiongozi Balozi Ombeni Sefue.
at3.jpg


Rais Jakaya Mrisho kikwete na Waziri Mkuu Mhe. Mizengo Pinda wakipitia Waraka wa Utumishi Namba 5 wa mwaka 2009 kuhusu matumizi bora na salama ya vifaa na mifumo ya teknolojia ya habari na mawasiliano (TEKNOHAMA) serikalini wakati wa kikao cha kazi (retreat) cha siku tatu cha Mawaziri, Manaibu Mawaziri na maafisa waandamizi wa serikali kujadili mikakati endelevu na utekelezaji wa sasa na wa baadae katika ukumbi wa St Gaspar mjini Dodoma


PICHA NA IKULU

Alianza na semina elekezi ngurudoto awamu ya pili ameibukia st.gaspa na retreat.Tija ya hizi semina ziko wapi?
 
Kwani ameacha kutembelea kila wizara na pia zile semina elekezi za Ngurudoto nazo zimehamia Idodomya
 
Nchi ishauzwa hii. Kina Livingstone wameanza tena kuingia rasmi kwenye vikao vyetu.
 
Back
Top Bottom