Picha: Mgombea mwenza wa UKAWA Juma Duni Haji anguruma Tanga

nngu007

JF-Expert Member
Aug 2, 2010
15,862
5,797
[h=2]MONDAY, SEPTEMBER 7, 2015[/h][h=3][/h]

Makamu mwenyekiti wa Chadema, Zanzibar Said Issa Mohamed akimlaki mgombea mwenza wa UKAWA kupitia chadema Mh Juma Duni Haji alipowasili kwenye uwanja wa ndege jijini Tanga.
Mgombea mwenza wa Ukawa kupitia chadema Mh Juma Duni Haji akipokea saluti kutoka kwa mkuu wa polisi wilaya ya Tanga OCD Omary Ntungu alipowasili kwenye uwanja wa ndege wa Tanga kwa ajili ya mikutano ya kampeni mkoani humo.
Baadhi ya wafuasi wa ukawa waliokuwa na shauku ya kutaka kumuona mgombea mwenza wa UKAWA kupitia Chadema Juma Duni Haji wakijaribu kusimamisha msafara wa mgombea huyo alipokuwa njiani kuelekea Muheza

CCM kifo cha mende.....

Mheshimiwa Juma Duni Haji akihutubia wakazi wa Muheza

Wakazi wa muheza Tanga wakimsikiliza Mgombea mwenza wa ukawa Mh Juma Duni Haji.

Posted by Chadema Blogtz at 3:01 PM No comments:

Safii hata polisi wameanza kutambua kuwa ukawa inaingia ikulu 25 october
 
salute kwa kwenda mbele.Lowassa tuuuuu hatuambiwi kitu
 
Tuesday, September 8, 2015
BA%2B16.jpg

Mgombea Mwenza wa Ukawa kupitia Chadema, Juma Duni Haji akihutubia mkutano wa kampeni katika uwanja wa Tangamano mjini Tanga.

BA%2B1.JPG

Mgombea Mwenza wa Ukawa kupitia Chadema, Juma Duni Haji akipokea saluti kutoka kwa Mkuu wa Polisi Wilaya ya Tanga (OCD), Omary Ntungu alipowasili kwenye Uwanja wa Ndege wa Tanga kwa ajili ya mikutano ya mkoani.
BA%2B2.JPG

Makamu Mwenyekitiwa Chadema, Zanzibar, Saud Issa Mohamed akimlaki Mgombea Mwenza wa Ukawa kupitia Chadema, Juma Duni Haji alipowasili kwenye Uwanja wa Ndege wa jijini Tanga, mgombea huyo yupo katika mikutano ya kampeni mkoani Tanga.
BA%2B4.JPG

Baadhi ya wafuasi wa Ukawa waliokuwa na shauku ya kutaka kumuona mgombea mwenza wa Ukawa kupitia Chadema Juma Duni Haji wakijaribu kuusimamisha msafara wa mgombea huyo alipokuwa njia kuelekea wilayani Muheza.
BA%2B8.jpg

Mgombea Mwenza wa Ukawa kupitia Chadema kihutubia Muheza.
BA%2B6.JPG

Mgombea Mwenza Juma Duni Haji akihutubia wakati wa jimbo la Muheza.

BA%2B17.jpg

BA%2B12.JPG

Mgombea Mwenza wa Ukawa kupitia Chadema, Juma Duni Haji akimtambulisha mgombea ubunge jimbo la Pangani, Amina Mwidau.
BA%2B11.JPG

Mgombea Mwenza akimkabidhi kadi ya CUF, Siwajibu Rajabu aliyejiunga na chama hicho wakati wa mkutano wa kampeni katika jimbo la Pangani Tanga.
BA%2B14.jpg

BA%2B13.jpg

Mfuasi wa Ukawa akiwa na bango.
BA%2B10.JPG

BA%2B19.jpg

Wafuasi wa Ukawa Mkinga.
BA%2B7.jpg

Wafuasi wa Ukawa wakifuatilia mkutano wa kampeni uliofanyika katika uwanja wa Shule ya Msingi Mkinga.
BA%2B18.jpg

Mgombea Mwenza wa Ukawa kupitia Chadema, Juma Duni Haji akiagana na wafuasi wa Ukawa baada ya kuhutubia mkutano wa kampeni katika Uwanja wa Tangamano mjini Tanga.Picha na Francis Dande
 
Watanznia kipande cha video kinacho sambazwa kikimwomesha LOWASSA eti akiomba kura Kanisani siyo kweli hiyo ni propaganda ya ccm kupitia Polepole ambaye alitengeneza video hiyo na kuisambaza hara kwenye video , ukiisikiliza vizuri utasikia sauti mbili , kunatarifa kuwa chama kinafanya mkakati ili kimfungulie mashaka ya kutengeza video ya uchochezi , ikumbukwe kuwa video kama hii ilisha wahi kutengenezwa ikimwonesha Afisa ulinzi Wa chadema Rwakatale eti akipanga ugaidi baada ya kufuatilia ikagundulika ni video ya kutengenezwa ni lazima sote tupuuze propaganda za ccm , awali walikuja na ufisadi ,ukanda, ugonja vyote vikashindwa sasa wametingeneza video kupitia Hamfrey polepole na kuisambaza wakati huohuo wamepanga , vyombo vya habari na magazeti ya ccm yaandike haraka hizo habari, hizo ni propaganda ni lazima wapuuzwe na ccm tunawaonya kuwa kutafuta kura kwakuleta udini au ukanda hafai hiyo ni dhambi itakayo wameza,MAGAZETI YALIO ANDIKA YOTE NI YA CCM NA YOTE YANA KICHWA KIMOJA CHA HABARI,HIVYO WALIPANGA TUNAJUA SILAHA CCM WALIO BAKI NAYO NI KUTUMIA UDINI KITU AMBACHO HAWATAFANIKIAWA
 
Kwanini tusambaze na mwenyewe amesema hakuwa na nia hy wewe ny mshenga
 
Ccm wanatumia pesa nyingi sana kwaajili ya kueneza propaganda wakati huo kuna watu vijijini wanakufa na njaa
 
Nakuomba u copy and paste hili ujumbe katika social media mengine ili iwafikie watu wengi pia,na wanaolisoma wa share. Uwongo unashindwa,Ukweli unashinda milele.
 
Back
Top Bottom