PICHA : Mbunge wa Mtama Mh. Nape Nnauye akiangalia fainali za Kombe la Dunia na wananchi wake

Mjanja anaanza kujitengenezea point za 2020
Huko nyuma ya hiyo nyumba kuna nyumba inatia huruma
 
Ni raha iliyoje kuwa na mwanaume anayejiamin km [HASHTAG]#nape[/HASHTAG],[HASHTAG]#lissu[/HASHTAG],[HASHTAG]#nyalandu[/HASHTAG],[HASHTAG]#msigwa[/HASHTAG] jamani!yaan ht upatwe janga bovu vipi ukikumbuka nyuma yako kuna mwanaume km hawa [HASHTAG]#UnapataNguvuMpya[/HASHTAG]!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…