Picha: Mbinu za CCM kuzuia m4c Ulanga Mashariki

Apr 2, 2012
23
8
attachment.php


Hizi ni moja ya mbinu za ccm kuzuia m4c ya chadema, hapa ni wakiwa wamechimba barabara ili msafara wa chadema -m4c usiingie kijiji cha namgezi kata ya keya ulanga mashariki...kwa fikra izi je ccm imefilisika kifikra!!!
 

Attachments

  • Tutashinda shinda tu....jpg
    Tutashinda shinda tu....jpg
    81.2 KB · Views: 2,204
Hizo ndio mbinu za serikali yoyote inayoongozwa kwa fikra za Illuminati, serikali ya CCM ikiwa miongoni mwao.

Mkuu hata huku Dar wanafanya hivyo hivyo, wanachimba na kubomoa lami ili wajenge tena lami
 
Hii kali kweli kweli.
Naona sasa fisi kanasa kwenye mtego na ameridhia kuutafuna mkia wake badala ya kutafuna mguu ulibanwa na mtego achikichie! Je, atakapomaliza kuubemenda mkia mtego utakuwa umeachia mguu?
 
View attachment 62669izi ni moja ya mbinu za ccm kuzuia m4c ya chadema, hapa ni wakiwa wamechimba barabara ili msafara wa chadema -m4c usiingie kijiji cha namgezi kata ya keya ulanga mashariki...kwa fikra izi je ccm imefilisika kifikra!!!

Hata katika harakati za kudai uhuru,watanzania walitumia nji nyingi za kuikomboa nchi hii,cha kushangaza mkoloni mweusi(ccm) anakwamisha tena ukombozi wa nchi hii.
 
Mleteni PASCO kwenye huu UZI, then atuambie tatizo ni watanzania, inawezekana CCM wamekodi wahuni waje wachimbe hiyo bara bara.

Tatizo ni CCM lingekuwa hata mtu mmoja, basi ingekuwa rahisi we angalia mambo yanayofanywa. Hivi ingekuwa msafara wa JK si Polisi wangefukia mara moja
 
hivi kwny suala kama hili c mwenyekiti wa chama ndo anaagiza,na mwenyekiti ndo anatuongoza,daaaaaaah we are at the middle of the jungle in front of black jaguar,what next.... lets check.
 
sasa kwani hii kero itakuwa kwa CDM tu au mpaka wananchi wa eneo husika? na hizo gharama watakazotumia hawaoni ni mzigo kwa masikini wa kitanzania?
 
sasa kwani hii kero itakuwa kwa CDM tu au mpaka wananchi wa eneo husika? na hizo gharama watakazotumia hawaoni ni mzigo kwa masikini wa kitanzania?

Masaburi alimaliza wanafikiri kwa kutumia................ hao ndio CCM zaidi ya uwajuavyo
 
Back
Top Bottom