Picha: Mbinu za CCM kuzuia m4c Ulanga Mashariki

Niliiona picha hiyo facebook, nikadhani ni utani kumbe kitu serious kabisa! Sasa hapo si wanaendelea kujijengea chuki dhidi ya wananchi? Hapo kwenye mtaro hata magari ya wanamagamba hayatapita!
 
hivi kwny suala kama hili c mwenyekiti wa chama ndo anaagiza,na mwenyekiti ndo anatuongoza,daaaaaaah we are at the middle of the jungle in front of black jaguar,what next.... lets check.

lazima wapate approval ya mwenyeiti wa chama ..hahaaa JK mwanakwetu kazi unayo mbona mwaka huu
 
Mkuu Stein, tatizo ni Watanzania!, hizi ni delaying tactics tuu, wanaweza kuchelewesha ila hawawezi kuzuia, leave CCM alone, reach out the masses!. Ukiona hali imefika hivi for "the going gets tough", ujue "the tough gets going!"- Bill Ocean. For sure CCM inatakiwa kuondolewa sio na Chadema, bali na watu!.
tena watu wote tuungane tuwaondoe kwa nguvu na hasira zote maana inavyoonekana hawa wapo tayari hata kuua kulinda madaraka yao tuamke mapema kabla hatujazamishwa kabisa.
 
Kweli ccm hakuna kiongozi hata mmoja mwenye uwezo wa kufikiri mpaka kufikia kufanya ushamba wa namna hiyo?....kweli utandawazi ni hasara kwa ccm kwani hakuna hata mmoja anayeweza kujaribu kuhimili mikikimikiki ya m4c
 
Namnukuu Lowassa kwenye caption za kipindi chake cha dk 45 J3 ijayo.....we shall cross the bridge and get there
 
Mkuu Stein, tatizo ni Watanzania!, hizi ni delaying tactics tuu, wanaweza kuchelewesha ila hawawezi kuzuia, leave CCM alone, reach out the masses!. Ukiona hali imefika hivi for "the going gets tough", ujue "the tough gets going!"- Bill Ocean. For sure CCM inatakiwa kuondolewa sio na Chadema, bali na watu!.

Mkuu Pasco,

Mimi sikubaliani na wewe jambo moja, unajua binafsi naamini tatizo ni CCM kwa maana ya maamuzi ya vikao vya CCM maana wakitoka mle wanasema Chama kimeamua hivi...

Vile vile nasema CCM wana matatizo kwa maana ya Mfumo wao pamoja na Serikali, haiwezi kuingia akilini kama tunafika mahali leo hii Ndege la Jeshi la Nchi fulani linatua TZ na kuchukua wanyama zaidi ya 130 kwa wakati mmoja alafu ukasema tatizo ni Mkurugenzi mmoja tu wa wanyamapori... Hapa lazima kuna tatizo.
 
Balaa tupu
293107_112977638850004_861229496_n.jpg
 
Mkuu Stein, CCM ni tawi tuu la mmea uliochipukia, ukitaka kuuua rasmi sio kulikata tawi, kata shina na kung'oa mizizi yake. Tegemeo la CCM ni wapiga kura!, achana na hili li dude CCM, target hao wapiga kura wanaoiweka CCM hapo ilipo!.

Pasco.
 
Mkuu STEIN kabla Pasco hajaja kujibu hoja yako hebu tazama hii picha kisha utafakari kama kweli watanzania wenyewe wanaweza kukwepa lawama katika umasikini huu tulionao. Itazame vizuri hii picha halafu useme neno.
Yaani MNAFIKI utamtambua tu! sasa sijui alichokuwa anafurahia ni nini hapa!.
 
Mkuu Stein, CCM ni tawi tuu la mmea uliochipukia, ukitaka kuuua rasmi sio kulikata tawi, kata shina na kung'oa mizizi yake. Tegemeo la CCM ni wapiga kura!, achana na hili li dude CCM, target hao wapiga kura wanaoiweka CCM hapo ilipo!.

Pasco.

Mimi ndiyo mpiga kura namba mmoja, ina maana kama mimi kwa level yangu nukaenda kwa wananchi na kuwaambia nyinyi mna matatizo 1, 2, 3..... Wanaweza wakashindwa kunielewa na CCM wanaweza wakatengeneza tafsiri nyingine...

Hapa issue ya kuwa address watu in kwamba CCM ndiyo mbovu pamoja na wale wote walioko CCM. Kama ukianza kusema CCM haina tatizo bali nyiye waTZ ndiyo mna matatizo basi watakuja wale jamaa na kuanza kusema mambo mengine.

Hapa cha msingi ni Kwanza CCM ni Mbovu kuanzi Mfumo wake, Uongozi wake, Sera Zake nk. Kwa hiyo hata mwakyembe, Magufuli ni wabovu kwa sababu wako ndani ya CCM mbovu ila kama wangetoka tu na kwenda hata chama hiki kipya basi wangekuwa clean mno.
 
huwezi kukinga jua kwa kiganja cha mkono, watz wanataka mabadiliko ya chama bila kujali matokeo. wameona wenzao wakenya wamebadili nchi inaenda vizuri, ndivyo watakavyo, ccm isijidanganye, mwisho wao nadhani umefik
 
siamini kama watu wazima wanaweza kuwa na mawazo finyu na ya kitoto namna hii
 
Kwani hamjui kusoma???? rudini nyuma muangalie, Barabara iko kwenye matengenezo. Hata kutengeneza barabara, ni jambo la kisiasa????? kwani hao m8c hawataki barabara zitengenezwe??????????????????? jamani, muwe wabunifu, na siyo wasingiziaji!!!
 
Back
Top Bottom