Picha mbalimbali za Viongozi wa Serikali wakijifukiza

Sasa hapo katangaza nn si nguo tu hizo za kushindia kavaa.

Kama ulikuwa hujui watu wenye pesa nguo za kushindia ni za brand tofauti tofauti kama vile Pepsi,coca,ndovu,Kilimanjaro yaan zile T-shirt za makampuni flan hivi
Sawa mkuu nikajua naye ni "BRANDI AMBASADA"
 
Hivi wale mitume, manabii wako wapi kwenye janga hili, huu ndio ulikuwa muda WA kukanyaga mafuta, mbona wamejificha?.
 
Hata wakati wa Babu serikali yote ilihamia Samunge. Loliondo. Sasa hivi serikali yote inaonyesha mfano wa Kujifukiza kwa NYUNGU mpaka kieleweke
 
Back
Top Bottom