Picha mbalimbali za Viongozi wa Serikali wakijifukiza

idawa

JF-Expert Member
Jan 20, 2012
25,284
38,312
Hizi ni baadhi ya picha za viongozi wetu wa awamu ya tano wakijifukiza.
IMG_20200502_100324.jpg

Waziri wa TAMISEMI Seleman Jaffo akijiandaa kupiga Nyungu

IMG_20200502_100200.jpg
IMG_20200502_100420.jpg

IMG_20200502_100407.jpg

Mbunge Msukuma kwenye ubora wake.
IMG_20200502_100316.jpg

Mkuu wa Wilaya ya Kilolo akiwa hoi kwa kujifukiza.
IMG_20200502_100208.jpg

Mbunge Gekule akiwa kwenye harakati za kujifukiza.
 

Attachments

  • IMG_20200502_100420.jpg
    IMG_20200502_100420.jpg
    100.7 KB · Views: 1
Back
Top Bottom