Picha mbalimbali za Mkoa wa Mwanza

Picha mbalimbali za Mkoa wa Mwanza

m

Mkuu, usikasirike ni hoja tu kwa sabb tunaona mandhari za kimji mji zaidi but logically jiji liko mwanza na mwanza haiko kwenye jiji so kusema Mwanza sio kosa!
Mtu ana koment kwa dharau kwani kaitwa?
 
Unajua mkuu hii ID yako haielezi jinsia, na umeweka avatar ya kike.

Maneno uliyotumia kwenye heading "On fleek" ni ya kike pia.

Jaribu kuwa na identity ya kiume kama kweli hutaki maswali ya namna hiyo.
Yaishe ila jinsia yangu sidhani kama ina matter kwako hapa ni jamvini mengine hayafai
 
jibu kama great thinker usiwe na ghadhabu
Siku hazilingali mkuu ila kuna watu hawajataka maliza siku humu kama hawajafanya utoto kwanini mtu asiulize kwa lugha nzuri tu akapata ufafanuzi??
 
Mkuu wa chuo honestly kweli Mwanza wajenge airport kama terminal three ambayo ni maalum kwa international flights? Hapa tunazungumzia klm,swissair,turkish,emirates halafu wajenge same thing Mwanza kwa ajili ya PW,ATC,FJ? Mwanza wanatanua airport yao ila its nowhere near terminal three, hebu tuwekeeni picha ya hio new Mwanza airport acheni hio ya terminal III. Wekeni ya Mwanza tulinganishe,hio mlioweka ni ya jknia.
Kulikuwa kuna design ya kwanza ya ramani, ila kwa baadae nikasikia wanataka wafanye kama design ya Terminal III, ila Uwanja ukikamilika ukawa ni International Airport ndio hayo mandege makubwa yataanza kutua hapo Mwanza...

Kuhusiana na picha bado walikuwa wakijenga Control Tower kule kwenye kilima, baadae watakuja Cargo Building halafu watakuja kwenye jengo la Abiria sasa...
 
Asante kwa Update nzuri ningekupa picha za hali ilivyo sasa uwanja wa mwanza ila nimekatazwa kupiga picha na jeshi maana waliona drone yangu inakatiza huko na wanajua ni mimi so wakasema hapana kupiga picha
 
Hizo picha zinahusu nini maisha ya mtanzania wa NGUDU-KWIMBA?
 
Mkuu umelazimishwa kukomenti au shobo tu??

teh teh tehh
images.jpg
 
Aisee...yaani Mwanza wajenge airport kama ya Dar kwa ndege gani zinazotua Mwanza? Mleta mada kachemka tu kaleta picha sio.

we makonda atakuwa kakusahau tu, hayo madege yanatua hapo dar sababu uwanja unakidhi, na mwanza wanajenga uwanja utakaokidhi ndege kama hizo
 
we makonda atakuwa kakusahau tu, hayo madege yanatua hapo dar sababu uwanja unakidhi, na mwanza wanajenga uwanja utakaokidhi ndege kama hizo
Hamna abiria wa kutosha kupanda ndege kama zinazotua Dar.
 
Mkuu kama Chato inajengwa ni kwanini Mwanza ishindikane?
Acheni ushabiki usiokuwa na msingi. Airport ya Chato inalingana na terminal three ya jknia? Mwanza inajengwa ila kusema na kuweka picha kuwa terminal III ndio airport ya mwanza ni uzushi.
 
Back
Top Bottom