Picha mbalimbali za ma-father katika maendeleo ya science

Utunzaji wa kumbukumbu na hata kama zilitunzwa na uhakika zilikuja kuharibiwa..
Sayansi ya Africa haithaminiwi na historia yake nikweli either iliaribiwa au kupotoshwa na wazungu, tulikuwa na wataalam wengi mfano canal drilling , wataalam wa kutengeneza alcohol mfano mbege uchagani, ulanzi kwa wahehe lakini hatuna kumbukumbu za wagunduz wa hii mambo.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…