Picha mbalimbali Operesheni M4C Morogoro

Kazi nzuri sana makamanda Morogoro wamewapokea kwa bashasha sana. Nimeongea na kamanda mmoja wa Mvomero ameniambia shughuli ilikuwa pevu sana hasa mikutano iliyofanyika madizini na Kibati.
 
Kazi nzuri sana makamanda Morogoro wamewapokea kwa bashasha sana. Nimeongea na kamanda mmoja wa Mvomero ameniambia shughuli ilikuwa pevu sana hasa mikutano iliyofanyika madizini na Kibati.

Mkuu Mwita hivi Morogoro mjini ni lini hii M4C?
 
hizi picha zitasababisha BP za watu kupata

maana zipo za KYELA, TARIME . MOROGORO leo tu
 
Kwa jinsi Nape Jr anavyopenda ujiko,angekuwa yeye ndo Dr.Slaa angeamrisha watu hawa wamwite Masiha au Nabii......***** sana huyu
 
popote pale utakapopata nafasi unganisha watu 5 na m4c, 2015 tunaikomboa nchi yetu toka kwa hawa dhalimu ccm.
 
Nataka ratiba ya M4C singida itakuwa lini hasa kata ya kyengege kwa chemba la maji taka ili nisikose
 

word... dah c mchezo, nimependa uchambuzi wko....... lkn unafkiri bila red brigade kitaeleweka kweli hpa bongo ukizingatia chama tawala kilivyo na mbinu chafu sna...?
 
Mtaji wa magamba ni umaskini na ujinga, ndio maana sehemu za mijini walipigwa chini, cha maana ni kuwaelimisha watu kwanza ili waondokane na ujinga ndipo cdm inaweza kuchukua nchi. Na ndio maana Nape anahaha kuzuia m4c ili wananchi wa vijijini wasielimishwe.
 
word... dah c mchezo, nimependa uchambuzi wko....... lkn unafkiri bila red brigade kitaeleweka kweli hpa bongo ukizingatia chama tawala kilivyo na mbinu chafu sna...?

CHADEMA inaamini nini ni muhimu zaidi, na sijajibiwa.

Mie siamini katika politics za violence kama "Red Brigades".

Naomba wananchi tujulishwe ama CHADEMA haiamini katika violence in politics, and this Red Brigades endorsement is borne out of a juvenile oversight and lack of education, ama inaafiki violence in politics with no apologies kiasi cha kuchapa fulana za Red Brigades.
 

Upofu wa akili
 
Upofu wa akili

Ni maswali genuine tu kutoka kwa Mtanzania anayeangalia "first principles" zaidi kuliko vyama.

Upofu wa akili ni kushabikia chama mpaka ukibanwa kwa maswali yaliyo genuine, pertinent na relevant, unakosa majibu na ku force king.

Upofu wa akili ni nini sasa hapo?

Kwamba CHADEMA inachoamini ni muhimu? CHADEMA ni chama chenye nguvu kubwa Tanzania, kwa hiyo kusema CHADEMA inachoamini ni muhimu hakuwezi kuwa upofu wa akili.

Kusema kwamba mimi siamini katika siasa za violence? Actually ukitaka kufanya siasa nyepesi zisizotumia akili sana ndo unatumia violence, siasa za akili unaweza kupiga chess za Gandhi na ukapata unachotaka bila kutumia violence.

Narudia. Upofu wa akili ni kushabikia chama mpaka ukibanwa kwa maswali yaliyo genuine, pertinent na relevant, unakosa majibu.Unaishia kutoa majibu ya mkato yasiyojielezea.Kama vile kusema.

"Upofu wa akili"

Huo ndio upofu wa akili.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…