Picha mbalimbali Operesheni M4C Morogoro

Msanii

Platinum Member
Joined
Jul 4, 2007
Posts
26,479
Reaction score
40,114
Wakuu.
Naomba kuwasilisha...

Makamanda wakivuka kivuko cha Kilombero




M4C moment



Watu wengi walijiunga na CDM
Viva M4C



More pics..../
 

Attachments

  • Kuvuka Kilombero 3..JPG
    646.7 KB · Views: 909
  • fwmoremoremorepicsmkubwa.zip
    fwmoremoremorepicsmkubwa.zip
    3.5 MB · Views: 176
  • Kuhutubia Mgeta.JPG
    1.1 MB · Views: 845
  • Kujiunga na chama.JPG
    855.4 KB · Views: 790
thanx mkuuu, nice pic hivi morogoro hapo town (mitaa ya fire) dk wa ukweli atakuwepo lini? thanx
 

Wananchi walikuwa na hamu Dr. ashuke awahutubie kila alikopita.
Hapa akizuiwa njiani na wananchi ili aseme japo neno..





Dr. Slaa akiwasili Gairo kwa M4C



Peoooopleeeeees......... pooowers!!!!
Hii ni kutoka Lupiro

Picha zaidi zinakuja...
 
pamoja sana mkuu.. morogoro ni moja wapo ya mikoa iliyokuwa ngome kubwa sana ya nyinyiemu... nashukuru kama wameanza kubadilika hao walugulu et al..... CDM GO GO GO.....
 
kazi nzuri sana, Ila Ukombozi hautaletwa na Dr Slaa au Mbowe au Zito na wengineo pekee yao, na sisi wanachama wengine tunaishia kusifia picha tu, Badala ya Kuishia kusifia picha inatakiwa tuchukue hatua ya angalau na sisi kuhamasisha kila mtu tunaye kutana naye njiani, tusiawaahie viongozi pekee yao
 



Kila makamanda wa M4C walipopita, walipata mafanikio makubwa.
Hapa ni Ruaha wananchi wakijiunga na CDM baada ya kampeni ya Utakaso ya M4C.

Hakuna kulala
 
Dr. Slaa ni Kiongozi mwenye ushawishi mkubwa sana Tanzania, bila kutia shaka ni wachache wenye ushawishi kama yeye, Je Dr. Slaa ana nini kinachompa ushawishi huu..
 
napata faraja moyoni mwangu nikiamini mabaddiliko no lazima
 

mkuu wengine tumeziua magamba familia, hadi idara nzima hadi tukapigwa barua ya warning! wa kimyakimya tupo...ila w2 wazidi kupiga shule watu watokwe na magamba!
 
dr. Slaa ni kiongozi mwenye ushawishi mkubwa sana tanzania, bila kutia shaka ni wachache wenye ushawishi kama yeye, je dr. Slaa ana nini kinachompa ushawishi huu..

uyu dr ni wa kipekee, ni kichwa sana na ana uwezo mkubwa wa kuchanganua mambo, uyu anafaa kuwa raisi wetu, atatupeleka mbele, aya mafisadi ya ccm ni mijizi makubwa yanayoifilisi hii nchi
 
Mungu Mtakatifu naomba nipe maisha marefu nishuhudie Dr Slaa akiapishwa kuwa Rais wa Tanzania na baada ya hapo waweza kuchukua roho yangu niende kwa amani kwani ukombozi utakuwa umekamilika
 
CCM tushawasema mpaka asymptote ya kikomo.

Sasa tuangalie "chama mbadala".

Nia ya kuanza kwa kusema hivi ni kutaka kueleweka kwamba naangalia mambo bila kujali vyama, bali kwa kuangalia mambo ya msingi zaidi.Mambo kama utaifa (kwa maana yake chanya), itikadi, miongozo, principles etc.

Kuna msemo wa Kiingereza kwamba picha moja ina thamani ya maneno elfu moja, shukurani kwa mdau aliyeleta picha.

Ona hii https://www.jamiiforums.com/attachment.php?attachmentid=62414&d=1345383169

Naona kuna fulana nyekundu zilizoandikwa "Red Brigade". Soma zaidi kuhusu chanzo cha "Red Brigade" kwenye Wiki yake
http://en.wikipedia.org/wiki/Red_Brigades

Kwa sie tulioona "miezi kumi na nane ya kufunga mkanda" kwa macho na akili bila kuhadithiwa, kati ya hao tuliojitaabisha kidogo kufuatilia habari hata kwenye vitabu na vijarida tu tutakumbuka "Red Brigades" kama ma violent Marxist-Leninist up there with Carlos "The Jackal" na "Baaden Meinhof". Watu ambao waliamini katika assasinations kufikia political ends zao.

CHADEMA kinataka kutuaminishw kwamba ni chama mbadala.Kinaamini katika itikadi za "Red Brigades" hivi? Kiasi cha kuchapa fulana?

Au CHADEMA ni a bunch of people with no depth kiasi wanaweza kuchapa fulana "zikatokelezea" this prominently, bila kujua kwamba katika wasomi wastaarabu wa leo the entire "Red Brigade" chapter of history is an embarrasing episode?

Je, kiitikadi, CHADEMA kinaunga mkono "Marxism-Leninism" kiasi cha kujiranda na "Red Brigade" yake mpaka kuchapa fulana zinazokubalika hivi?
 
Slaa lazima apige kazi sana sasa ili apate posho

Unajua kwanini!!!?

Sasa hivi ana wake wawili
 
Hata angekuwa na wanne kwn M/kiti wako unajua ana wangapi?

M4C haitawaponyesha kamwe!
Tuombe uzima na nafikiri huo muda ukifika wengine hamtaingia jukwaa lengwa!

Slaa lazima apige kazi sana sasa ili apate posho

Unajua kwanini!!!?

Sasa hivi ana wake wawili
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…