Picha Mbalimbali Kutoka Arusha baada ya Rufaa ya Aliyekua Mbunge wa Arusha Mjini(CHADEMA) Lema | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Picha Mbalimbali Kutoka Arusha baada ya Rufaa ya Aliyekua Mbunge wa Arusha Mjini(CHADEMA) Lema

Discussion in 'Jamii Photos' started by nngu007, Oct 3, 2012.

 1. nngu007

  nngu007 JF-Expert Member

  #1
  Oct 3, 2012
  Joined: Aug 2, 2010
  Messages: 15,871
  Likes Received: 56
  Trophy Points: 145
  [h=3][/h]


  [​IMG]
  [​IMG]
  Wafuasi wa Chama Cha Demokrasia na
  Maendeleo (CHADEMA) wakiandamana kutokea mahakamani,ambapo rufaa ya
  aliekua Mbunge wa Chadema jijini Arusha Bw. Godbless Lema, ilisikilizwa
  na kusogezwa mbele.

  [​IMG]
  Wafuasi wa Chama Cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA)
  wakiandamana kutokea mahakamani,ambapo rufaa ya aliekua Mbunge wa
  Chadema jijini Arusha Bw. Godbless Lema, baada ya kusogezwa mbele.

  [​IMG]
  Wafuasi wa Chama Cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA)wakiongozana na aliekua Mbunge wa
  Chadema jijini Arusha Bw. Godbless Lema Mbunge kutokea mahakamani ambapo rufaa yake ilisikilizwa.

  [​IMG]
  Wafuasi wa Chama Cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA)
  wakiandamana kutokea mahakamani,ambapo rufaa ya aliekua Mbunge wa
  Chadema jijini Arusha Bw. Godbless Lema ikisikilizwa na kusogezwa mbele.

  [​IMG]
  Aliekua Mbunge wa
  Chadema jijini Arusha Bw. Godbless Lema akionekana juu ya gari pamoja na Wafuasi wa Chama hicho wakitokea mahakamani.

  [​IMG]
  Wafuasi wa Chama Cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA)
  wakibembea juu ya gari la Mbunge.

  [​IMG]
  Hili ni gari la aliekua mbunge wa CHADEMA Bw. Godbless Lema.
  [​IMG]
  M4C likifuata msafara wa Aliekua Mbunge wa
  Chadema jijini Arusha Bw. Godbless Lema wakitokea mahakamani.

  [​IMG]
  Kikosi cha usalama nacho kilikua kwenye
  msafara huo, japokuwa hapakua na kazi yeyote ya kufanya bali kuhakikisha
  Amani inatawala.

  Picha hizi na habari zimeletwa hapa na mdauGadiola Emanuel
  [​IMG]
   
 2. only83

  only83 JF-Expert Member

  #2
  Oct 3, 2012
  Joined: Oct 15, 2010
  Messages: 5,252
  Likes Received: 445
  Trophy Points: 180
  Hivi CUF walienda kufanya nini Arusha kwa hali hii?
   
 3. MATESLAA

  MATESLAA JF-Expert Member

  #3
  Oct 3, 2012
  Joined: Aug 11, 2011
  Messages: 1,252
  Likes Received: 6
  Trophy Points: 0
  Hiki chama ni chama cha wanyonge wenzangu nawaunga mkono
   
 4. Nyunyu

  Nyunyu JF-Expert Member

  #4
  Oct 3, 2012
  Joined: Mar 9, 2009
  Messages: 4,370
  Likes Received: 130
  Trophy Points: 160
  CCM B walisomba watu kujipa maujiko!!! Si ni kama zile zile njama za waume zao!!!
   
 5. M

  Makupa JF-Expert Member

  #5
  Oct 3, 2012
  Joined: Apr 11, 2011
  Messages: 2,742
  Likes Received: 67
  Trophy Points: 145
  Kupima upepo kama cdm walivyoenda Mtwara
   
 6. Nicholas

  Nicholas JF-Expert Member

  #6
  Oct 3, 2012
  Joined: Mar 7, 2006
  Messages: 25,132
  Likes Received: 2,355
  Trophy Points: 280
  hayo majani aka masale ni everything ni kwa watu wa kaskazini, yanaweka mipaka, yanawekwa palipo tambiko, yanatumika ombea msamaha yanatumika kushangilia kitu kikuu.

  Yaani ni kama yesu alivyoingia jerusalem akalakiwa na majani ya mizituni.
   
 7. kbosho

  kbosho JF-Expert Member

  #7
  Oct 3, 2012
  Joined: Jun 4, 2012
  Messages: 12,505
  Likes Received: 3,314
  Trophy Points: 280
  jamani watz wa sasa sio wafu!!!!2najielewa jaman
   
 8. LiverpoolFC

  LiverpoolFC JF-Expert Member

  #8
  Oct 3, 2012
  Joined: Apr 12, 2011
  Messages: 11,001
  Likes Received: 153
  Trophy Points: 160


  Thubutuuuuu!!!
   
 9. Daudi Mchambuzi

  Daudi Mchambuzi JF-Expert Member

  #9
  Oct 3, 2012
  Joined: Nov 25, 2010
  Messages: 31,798
  Likes Received: 36,823
  Trophy Points: 280
  Aisee kuwa mwanachama wa chadema ni raha sana kwa kweli.

  Sent from my BlackBerry 9700 using JamiiForums
   
 10. a

  adolay JF-Expert Member

  #10
  Oct 3, 2012
  Joined: Dec 8, 2011
  Messages: 7,567
  Likes Received: 3,026
  Trophy Points: 280


  Mkuu
  Cuf ni mbumbumbu anayefuata mluzi na maelekezo ya ccm, chochote akiambiwa anafuata.

  Watu wanamna hiyo wakuogopwa kama ukoma maana hawana specific objectives
   
 11. Root

  Root JF-Expert Member

  #11
  Oct 3, 2012
  Joined: Jan 23, 2012
  Messages: 26,244
  Likes Received: 12,964
  Trophy Points: 280
  Duh kule kaskazini noma sana

  Sent from my BlackBerry 9860 using JamiiForums
   
 12. Preta

  Preta JF-Expert Member

  #12
  Oct 3, 2012
  Joined: Nov 28, 2009
  Messages: 24,113
  Likes Received: 3,036
  Trophy Points: 280
  sana.....na sasa hujaona raha vizuri.....siku ambayo kuna mkutano huwa kunakuwa na spirit fulani hivi......kila mtu anahakikisha ana kitu chenye nembo ya CHADEMA.......ukikutana na mwenzio ni kusalimiana.....kutiana moyo na ari kuu.......na hapo humfahamu hujawahi kumuona na wala hutamuona tena.....ni mapendo tu yanatawala.......huwezi sikia uharamia wowote.....
   
 13. Donnie Charlie

  Donnie Charlie JF-Expert Member

  #13
  Oct 3, 2012
  Joined: Sep 16, 2009
  Messages: 6,575
  Likes Received: 842
  Trophy Points: 280
  Hata usipokubali mdomoni, Rohoni utakubali tu.
   
 14. Gwangambo

  Gwangambo JF-Expert Member

  #14
  Oct 3, 2012
  Joined: Jun 30, 2012
  Messages: 3,655
  Likes Received: 85
  Trophy Points: 145
  Nimekugongea Like.
   
 15. Evelyn Salt

  Evelyn Salt JF-Expert Member

  #15
  Oct 4, 2012
  Joined: Jan 5, 2012
  Messages: 45,114
  Likes Received: 31,981
  Trophy Points: 280
  Tunajielewa kwa maneno na ushabiki wa midomoni tu kaka vitendo bado
   
 16. Emanuel Makofia

  Emanuel Makofia JF-Expert Member

  #16
  Oct 4, 2012
  Joined: Jan 5, 2010
  Messages: 3,843
  Likes Received: 18
  Trophy Points: 135
  inaelekea unakula sana mboga kuyaona haya maandishi kazi!!:poa
   
 17. N

  Nonda JF-Expert Member

  #17
  Oct 4, 2012
  Joined: Nov 30, 2010
  Messages: 13,223
  Likes Received: 1,958
  Trophy Points: 280
  Nicholas
  Vipi ndugu?
  Maelezo uliyotoa bila ya hiyo nyekundu, yamejitosheleza.
  Mbona hapa unawapa nafasi wanaosema CHADEMA ni chama cha kidini?
   
 18. M

  Mthuya JF-Expert Member

  #18
  Oct 4, 2012
  Joined: Jun 9, 2011
  Messages: 1,415
  Likes Received: 65
  Trophy Points: 145
  Chadema ndio tumaini lililobaki miyoyoni mwa watu
   
 19. M

  Mthuya JF-Expert Member

  #19
  Oct 4, 2012
  Joined: Jun 9, 2011
  Messages: 1,415
  Likes Received: 65
  Trophy Points: 145
  Walifuata maelekezo ya mume , chezea kuolewa wewe
   
 20. Man 4 M4C

  Man 4 M4C JF-Expert Member

  #20
  Oct 4, 2012
  Joined: Aug 2, 2012
  Messages: 737
  Likes Received: 8
  Trophy Points: 35
  Sasa Jaji Mkuu inamaana kusikia husikia,na picha pia husioni?
   
Loading...