Yericko Nyerere
JF-Expert Member
- Dec 22, 2010
- 17,026
- 20,511
Wakati wenzetu wakijichana na kustarehe,sisi tuliibadilisha pasaka kuwa siku ya kuwatetea wanyonge wa taifa hili kwa kuchapa neno jimbo la Mbogwe(OPERATION TIGI TIGI) with no apology
Nawe pia ni msakatonge tu! Kuna nini cha maana hapo kwenye Picha!
Ulitaka tukuone ukiwa umekaa kwenye helkopta?

80%wamekuja kushangaa chopa.. 10%below 18 years, 5%hawatopiga KURA kwa sababu mbali mbali..
Soon kipngozi
Nalifanyia kazi jemedari
Sioni jipya hapa
Mungu atutie nguvu,pamoja na magumu tunayopitia tusikate wala kukatishwa tamaa
Mungu atutie nguvu,pamoja na magumu tunayopitia tusikate wala kukatishwa tamaa
Wakati wenzetu wakijichana na kustarehe,sisi tuliibadilisha pasaka kuwa siku ya kuwatetea wanyonge wa taifa hili kwa kuchapa neno jimbo la Mbogwe(OPERATION TIGI TIGI) with no apology
Nawe pia ni msakatonge tu! Kuna nini cha maana hapo kwenye Picha!
Ulitaka tukuone ukiwa umekaa kwenye helkopta?
wakati macho yanashangaa chopa masikio yanapata neno la ukombozi huoni kama lengo litakuwa limefikiwa?1Picha zote watoto wamejaa wanashangaa Chopa