Kweli Mkuu zzk Hana wakumlinganisha CDM kwa usaliti wakeKumfananisha Zito na Lema ni sawa na kufananisha mlima na kichuguu.
Zito hana wa kumfananisha katika Chadema ahata Dr Slaa analijua hilo na ndilo Chadema linalowaumiza kichwa. Kwani nyota yake ni kali sana hakuna wa kuweza kuizima.
Ok Tusubiri CC ya chadema kama itaweza kumfukuza baada ya utetezi wake uliosheheni kuikosoa na kuonyesha namna walivyovinja katiba katika kadhia yake.
bungeni utaona ukweli upo wapi.Watakuja wana Lumumba hapa... utawaskia.
Huwezi kuwafananisha hao wavuta bangi waliokuja kumlaki muhuni mwenzao Lema, na hawa wananchi wazee, wakinamama, wakinababa, vijana na watoto walikuja kumpokea mbunge wao zitto.
bungeni utaona ukweli upo wapi.
Labda jaribu kuangalia records zao Bungeni na hata hoja zao wanapotoa .Pitia ansard za bunge uone michango yao bungeni na mengineyo utaona tu nani kichwa na nani galasa.
Pole sana
Ivi Kweli binadamu wote tulichobeba juu ya Mabega ni vichwa?Huwezi kuwafananisha hao wavuta bangi waliokuja kumlaki muhuni mwenzao Lema, na hawa wananchi wazee, wakinamama, wakinababa, vijana na watoto walikuja kumpokea mbunge wao zitto.
Huwezi kuwafananisha hao wavuta bangi waliokuja kumlaki muhuni mwenzao Lema, na hawa wananchi wazee, wakinamama, wakinababa, vijana na watoto walikuja kumpokea mbunge wao zitto.