atazungumzwa rasmi tarehe 2 november 2015 atakavyo apishwa rasmi kuwa rais wa awamu ya tano hivyo nyie wazururaji a.k.a panya road endeleeni tu kuneng'eneka na kujidanganya.
Haijawahi tokea kwakweli,tuseme ukweli pale unapostahili kusemwa japo nipo kwenye shule ya UMOJA WA JUMUIA YA WAZAZI CCM,nathubutu kusema Bulembo anisamehe kwa kukubali ukweli kua CCM imechokwa.