atazungumzwa rasmi tarehe 2 november 2015 atakavyo apishwa rasmi kuwa rais wa awamu ya tano hivyo nyie wazururaji a.k.a panya road endeleeni tu kuneng'eneka na kujidanganya.
Bas. Mbeya kuna wachaga sana zaid wanyakyusa wasafwa na wakinga kwel wwe kihangira
Bas. Mbeya kuna wachaga sana zaid wanyakyusa wasafwa na wakinga kwel wwe think again na ukabira wako
CCM mbele kwa mbele!!
Hata picha za maana mimi jaona. Au mkutano umeairishwa
nakutakia kila la kheri katika hiyo agenda yako .
round hii kawa mpole kama maji ya mtungini,mpaka anatia huruma.tusubiri makeke yake baada ya adhabu yake kuisha kupitia ile account yake anayoitegemea.:biggrin1:Mkuu naona unateta na POPOMA the Chief spy
Hii ni pointless magufuli aliitoa.Maisha yanaanza na walimu wote kumiliki laptp
ningeshangaa huyu mama wa kichaga asingeipenda chadema / ukawa kwani ndiyo chama chao wa kaskazini ila siyo chama cha watanzania wote kwani watanzania 90% ni ccm tu pekee.