Picha: Mapokezi ya Freeman Mbowe Dar

Thanks bro! Nimeanza vizuri siku ingawa TANESCO wamekata umeme!
 
haahaa jembe la CCM, wameingia gharama kibao kumpeleka arusha.
 
Hapa ndipo panapotoa direction ya kulikomboa taifa... Democracy inagharama zake na kina mbowe ndo wanalipa gharama kwa kuteswa na kuonea kama anavyofanya Besigye Uganda
 
Nguvu ya uma imeonekana,walikuwa wanabeep ccm,VIVA CHADEMA
 
Na hapo kwenye gharama za kumpeleka Mbowe Arusha lazima jamaa watakuwa wamechakachua vibaya sana.,hebu watupe mahesabu kama hujaambiwa zoezi zima liligharimu bilioni 1
 
Duuuuuh kweli kazi ipo, naona CDM wamejipanga kwa propaganda saizi vizuri sana, mahakama na polisi vilitegemea vingemnukisha Mbowe kwa wanachama wa CDM na wananchi kwa ujumla kumbea ndiyo kwanza wamemuongezea umaarufu. Kweli ukimpiga chura teke ni kumpunguzia safari tu.
 
Safi sana CDM inakuwa kwa kasi ya ajabu!!
 
Hili liko wazi lolote lile CCM NA MAGAMBA YAO watakalo lifanya juu ya viongozi wa CDM wajue watanzania tupo nyuma yao.
Dodoma askari wanaaha kuzuiya mapokezi ya kiongozi wa kambi ya upinzani kupokekelwa.
 
CCM bana...hizo si kodi zetu zinateketea kweli?? Yaani mkodishe ndege kumpleka mtu Arusha?? Ingekua mama mjamzito anahitaji hata fuso ya serikali imuwahishe hospitali ingekuwa bonge la ishu..shenz.........zao kabisa
 
Hongera sana Mbowe kwa ku-renew dhamana na pole sana kwa kuswekwa "andar" kwa siku tatu, nakuasa tu, wewe ukiwa ni kiongozi wa chama na unaependwa na walalahoi wengi wa mikoa ya Kaskazini, siku zingine usicheze na Mahakama, fata nyayo za Slaa, mwenzako aliposikia anaitwa akaacha mambo yoote akaenda haraka kuripoti.
 
Sakata lote hili ni kumwongezea umaarufu Mheshimiwa Freeman Mbowe. Serikali inatakiwa itafute mbinu nyingine za kupingana na upinzani nchini.
 

Naona Nape kawapata kweli kweli, manake jana alikuwa anajisifia kwamba sasahivi vijana wake wako kazini.

Bahati mbaya sana wewe badala ya kutumia walau akili yako kidogo tu kujenga hoja, umegeuka kuwa debe.

Watu wamejitokeza kwa wingi dar pasipokujali kabila wala dini zao wewe unakurupuka na mambo yako ya kibaguzi.

Sasa endeleeni kuimba kaskazini, siku mkishituka kusini nayo imegeuka kuwa kaskazini!!
 

The following user Groaned you for the useless post
Fellow tablet1
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…