Picha: Mamia ya jeshi la Israel latekwa

Picha: Mamia ya jeshi la Israel latekwa

Hao sio Hamas,wamekamata raia waliokua wamewekwa kwenye eneo lenye usalama,wamekamata mpaka waandishi wa habari na kuwavua mashati ila hiyo haizuwii kichapo toka kwa Hamas.
Ni Hamas, ingawa hutoweza kukubali
 
Hao sio Hamas,wamekamata raia waliokua wamewekwa kwenye eneo lenye usalama,wamekamata mpaka waandishi wa habari na kuwavua mashati ila hiyo haizuwii kichapo toka kwa Hamas.
Ni hamas Tena wameanza kujisalimisha baada ya Israel kuanza kupump maji ya bahari kwenye mahandaki.
 
Wapi nimeadika kushinda?
Ujinga wako unadhani vita kuingia ndio umeshinda, hata kama hujasema kuna wengine huo ndio mtego wao kuwamaliza madui waingie kwenye mitego kama anavyo malizwa Israel huko Gaza.

Israel wao kazi zao kurusha moboom kwa silaha za kupewa bure na America ndio wanacho kijua zaidi ya hapo hamna kitu.

Yemen karipua base yake hapo Eritrea na nina uhakika kabisa Israel hawezi rudisha kipigo cha Yemen, anawafahumu wapiga Mirungi ndege zake watazitungua na wana Mig 29 ambazo zinaweza kushambulia Israel bila kuangushwa.

View: https://youtu.be/kPyutdUVnLw?si=4O6K-3Y3jHe2iDeZ
 
Kuna eneo lolote Gaza lisilo na hamas?
Ramallah IPO west bank haiko Gaza.
Kapitie video za habari asubuhi ya Leo Aljazeera na CGTN utaona kuwa Israel ilivamia West Bank na kukamata hao jamaa kukiwemo waandishi watatu wa aljazeera.
Gaza kwengine Ramallah kwengine
 
Ujinga wako unadhani vita kuingia ndio umeshinda, hata kama hujasema kuna wengine huo ndio mtego wao kuwamaliza madui waingie kwenye mitego kama anavyo malizwa Israel huko Gaza.

Israel wao kazi zao kurusha moboom kwa silaha za kupewa bure na America ndio wanacho kijua zaidi ya hapo hamna kitu.

Yemen karipua base yake hapo Eritrea na nina uhakika kabisa Israel hawezi rudisha kipigo cha Yemen, anawafahumu wapiga Mirungi ndege zake watazitungua na wana Mig 29 ambazo zinaweza kushambulia Israel bila kuangushwa.

View: https://youtu.be/kPyutdUVnLw?si=4O6K-3Y3jHe2iDeZ

Sasa ujinga wangu ni nini?......Unaonekana una makasiriko sana. Nenda GAZA ......kule ndio kuna vita.
 
Ujinga wako unadhani Israel kufika Gaza ndio kashinda si umesema vita vinapiganiwa Gaza.

Hamasi haihtajii msada wa mtu wako fit kabisa bora we ukawasaidie mashogo zako huko wanasaidiwa na America, uingereza, Faransa, Ujeruman, Australia, Canada, Ukraine, United Arab Emirates, Italy na bado Gaza haifiki hata km 35 wameishindwa 😄
 
God Bless Israel
🇮🇱 I🇮🇱 🇮🇱
 
Back
Top Bottom