BEZO JR
Platinum Member
- Jul 15, 2023
- 3,273
- 8,473
Tulieni magaidi,mpigwe sawa sawa regardless wanasaidiwa ama la..na nyie HAMAS tafuteni msaada.Haya maneno ulitakiwa uwape waisrael wenzako kua kwanini hawawezi kupigana na Hamas bila msaada wa jeshi la USA na mataifa ya Europe? Kwanini wasingeingia Gaza peke yao?
Kingine waulize hao wayahudi wenzako,kwanini wasiwaokoe hao mateka wao na wanajeshi wao waliotekwa?