technically
JF-Expert Member
- Jul 3, 2016
- 13,698
- 58,744
Naona ameanza kunenepa na kuwa mrembo anaonekana mwenye tabasamu sana mama wa watu
Maumivu Ni sehemu ya maisha ila tabasamu asee Ni mwanzo wa maisha mapyaNaona ameanza kunenepa na kuwa mrembo anaonekana mwenye tabasamu sana mama wa watu View attachment 1815522
Wanaokonda ni mataga kama wewe.wanaokonda kwa sasa ni ufipa.
Inatosha sasa jamani!Duh!🤣🤣🤣🤣🤣Mama inaonekana alikuwa anasimangwa na mwenda zake .
Tutampumzisha ila sio sasa.[emoji16]Inatosha sasa jamani!Duh![emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Unajua watoto na nduguze MATAGA wapo humu.Mtawaliza sasa.🤣🤣🤣🤣Tutampumzisha ila sio sasa.[emoji16]
wafuasi wao ujue huwa hawaamini kama yupo kwenye kibanda cha mabati tayariUnajua watoto na nduguze MATAGA wapo humu.Mtawaliza sasa.[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Ila MATAGA walikuwa na matusi utadhani waiuona ufalme wa Mungu.😂😂😂wafuasi wao ujue huwa hawaamini kama yupo kwenye kibanda cha mabati tayari
Mtako umerudi duh maisha haya bwanaSi kwa nia yoyote mbaya ila Mama Janeth amenawiri kwa kweli.
Wewe ulikuwa mke mwenza wa mama?Wanaokonda ni mataga kama wewe.
Ona mpaka mkewe kaanza kuneemeka maana dikteta pombe alikuwa kikwazo.
Safi bhanaNaona ameanza kunenepa na kuwa mrembo anaonekana mwenye tabasamu sana mama wa watu View attachment 1815522
hahah kwani zamani mtako haukuepo?Mtako umerudi duh maisha haya bwana
Msaada namba mama anahitaji farajaNaona ameanza kunenepa na kuwa mrembo anaonekana mwenye tabasamu sana mama wa watu View attachment 1815522