Picha - Majambazi yakamatwa yakiiba hoteli ya Mtanzania

Babuji

Senior Member
Nov 27, 2008
197
3
Majambazi wawili kati ya watano yametiwa nguvuni wakati wakiiba katika hoteli ya Mtanzania iliyopo Tandale jijini Dar es Salaam baada ya kupokea kipondo takatifu kutoka askari na raia wenye hasira

Majambazi wawili kati ya watano yametiwa nguvuni wakati wakiiba katika hoteli ya Mtanzania iliyopo Tandale jijini Dar es Salaam baada ya kupokea kipondo takatifu kutoka askari na raia wenye hasira

488750.jpg

Majambazi wawili yakiwa yamefungwa kamba yakishushwa kutoka ghorofani ili kupakiwa kwenye gari tayari kupelekwa Kituo cha Polisi Magomeni.

Habari kamili NIFAHAMISHE Tanzania news portal .: Habari za Tanzania :.
 
Umesema polisi wamepiga hao majambazi - askari wanaruhusiwa kupiga watu waliokuwa wamejisalimisha ? Duh
 
angalia hizo damu
Polisi wa bongo hawawezi kukumata halafu wasikupe hata makonzi au kama bahati yako mbayo virungu lazima vikuangukie
 
Polisi wa bongo hawawezi wakamkamata mtu halafu wakamwachia bila ya kumpa makwenzi au kama ana bahati mbaya virungu lazima vimuangukie
 
majambazi wakikamatwa jamani wauliwe ili wapungue hii kuwapeleka rumande siku mbili tatu katoka kwaajili ya dhamani alafu anaendelea na kazi yake yaani mmmm sijui!!
 
Ujambazi lazima utazidi kipindi hiki kwasababu wahalifu wengi waliokuwa gerezani wamepata msamaha wa Rais ,sasa wametoka hawana kitu matokeo yake ndio hayo!! Kova ana kazi kweli kweli.
 
Ujambazi lazima utazidi kipindi hiki kwasababu wahalifu wengi waliokuwa gerezani wamepata msamaha wa Rais ,sasa wametoka hawana kitu matokeo yake ndio hayo!! Kova ana kazi kweli kweli.



Duuuh....

Hii kazi kweli kweeli ,sasa nauliza hivi,Kwahiyo Rais asiwe anatoa msamaha?
 
mnaposema mafisadi wamekamatwa na majambazi yamerudi ndo kumaanisha nini wazee wenzangu?maana bado sijaelewa.hao mafisadi ndo walikuwa wanazuia ujambazi kwa vile now hawapo ndo umerudi
ama
kwa vile wamekamatwa na fwesa mingi iko hitajika nao so wametuma vijana wao wa kazi warudi kibaruani?maana nakumbuka kuna wakati ujambazi ulihusishwa na wakubwa wengi wengi
 
While I not only understand but also sympathise with the Tanzanian population in that the lack of confidence in the criminal justice system contributes a lot to these acts of modern day lynching, I also recognize that the preservation of a justice system is paramount and that such a responsibly sober endeavor dictates that the populace must strictly and steadfastly adhere to the rule of law and the reigning legal standards. An example of these age old foundational fairness standards, on which the current legal system is built, clearly violated here, is the provision that everybody be considered as innocent until proven guilty.

Under no circumstance should the citizenry take the law into it's own hands, lest a case of mistaken identity or some other forms of an overzealous mob overexacting sentences on feeble evidence and even less expertise on the subject (Refer to Mwanakijiji's thread on the stoning of teenagers to death, on suspicion of common theft no less!).

Rather, much stress should be placed on the organs of law and order to preserve the said justice in exactitude, accordingly and promptly in order to not only restore the people's waning confidence in the now almost defunct bodies, but also to clearly and categorically let justice seemingly and actually be done.
 
Last edited:
majambazi wakikamatwa jamani wauliwe ili wapungue hii kuwapeleka rumande siku mbili tatu katoka kwaajili ya dhamani alafu anaendelea na kazi yake yaani mmmm sijui!!


Mkuu huo ni mtazamo wakihasira zaidi.
lakini kisheria mambo hayaendi hivyo. Kama ingekuwa hivyo leo isingekuwepo kesi ya kina zombe. Mtanzania polisi umpe ruhusa ya kuua kila atakaemhisi kambazi unafikiri tutarajie nin?
 
Ninavyo fahamu mimi msamaha wa Rais uwa hauwagusi watu waliofungwa kwa ujambazi na hasa ujambazi wa kutumia silaha. Lakini kwa Tanzania kila kitu kinwezekana kwani ndugu wa majambazi walioko gerezani wanaweza kutoa chochote na hao watu waliofungwa kwa ujambazi wakatoka kwa msamaha wa Rais!!!!!!!!
 
Back
Top Bottom