Encryption
JF-Expert Member
- Oct 16, 2015
- 999
- 1,356
yajayo yanafurahisha
[emoji23] [emoji23] [emoji23]makanjanja tanzania siyo mahali pao
Bei ya mafuta (imepanda wiki hii) ni kitanzi kwa wamiriki wa magari (vyombo vya moto)Kipanya sijapata hata maana moja ya ulichomaanisha hapo
bei za mafuta zinawanyonga madereva!!Kipanya sijapata hata maana moja ya ulichomaanisha hapo
Ekambe meku nilikuwa sijawaza hata huko kwenye mafutaBei ya mafuta (imepanda wiki hii) ni kitanzi kwa wamiriki wa magari (vyombo vya moto)
bei za mafuta zinawanyonga madereva!!
Jitahidi hata kuisoma picha kidogo basi,maana umeenda nje kabisa ya uwanjamakanjanja tanzania siyo mahali pao
Jitahidi hata kuisoma picha kidogo basi,maana umeenda nje kabisa ya uwanja
Ndio,kwanini huelewi?Kwani umekasirika mkuu?
Ndio,kwanini huelewi?
sio ww mwenyew mkuu mm niliwaza labda kakosea kufunga mkanda😀😀😀😀bei za mafuta zinawanyonga madereva!!