Picha: Madenge, Pimbi, Komredi Kipepe

naikumbuka bahati nasibu iliyochezeshwa na WAMASA dili ilichezwa na ndumilakuwili, pimbi na kipepe! yaani ilikuwa kaazi kwelkweli! kipepe alikaa ndani ya pipa la bahati nasibu!
ilikuwa raha sana!
 
Kulikuwa na story moja inaitwa wimbi la kitintale, ilikuwa balaa
 
Mchoraji mwingine maarufu aliitwa Marco ........
 
Sijazisahau story za John Kaduma ktk gazeti la Tabasamu kama Pablo Zungu, Bodigadi n.k.
Kwenye Sani kuna zoezi moja la Bush stars lilipigiwa majini, ili kuimarisha umahili wa chenga dimbani kocha alimwaga gunia la nyoka wengi weee! Hapo wachezaji walikuwa wameshakaa 3 days in water!
Zamani raaaha!

Sent from my BlackBerry 9220 using JamiiForums
 
kutana na mzee meko, mayuku kubwa la maadui, bila kumsahau bob mazishi
 
hivi waliotoa story ua ufudu na panga la shaba, nao walikuwa ni akina sani
 
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…