Threesixteen Himself
JF-Expert Member
- Feb 12, 2013
- 8,351
- 8,087
Timu nzima mzee meko ndiye alikuwa anavaa shati, nakumbuka kuna game kulitokea valangati basi mzee Huihui wa Bush Stars akawakaba kabali wachezaji wawili wa Born Town akawauliza "kwani nyie mlikuwa mnasemaje".
haaa haaa haaa baby ake kumbe kipindi hicho ulikuwa bado hujaja mjini?
!
!
hahahahahaha noma sana mkuu unanikumbusha mbaaaali sana mkuu wa nchi
Nakumbuka kipindi hicho home Kasulu tunasubiri kwa hamu sana hili gazeti, kuna jamaa kama wawili tulikuwa nao class kaka zao walikua DSM ndio walikuwa wanatutumia kwa Treni.
Kwa hiyo wale wajanja wa class ndio mnakuwa wa kwanza kwanza kusoma hafu mnawasimulia wenzenu, duh! Ilikuwa kama kusubiria 24 watoe season nyingine aisee!
Basi Chino nilikuwa namwogopa balaa, ukiona Mzee Ole anasema Zumo umeshindwa afunguliwe Chino unajua hali ni tete, unatetemeka kama kweli, Chino alikuwa anavaa chup ya chuma hivi, dah!
!
!
ilikuwa kama muvie flani...hahahahaha kuna siku moja Mzee Kifimbo cheza aliingia choo cha kike wale watoto wa kijiweni Wakamwambia tafsiri zooote ila ya mwisho wakapa.........NA KATA FUNUA NDIO HII, walimtandika bonge la mtamaaaa hahahahahaha
ivi miaka ya sani na bongo ulikua ushaanza u paroko Kaizer?
Wewe na anko wako mwallu mna lenu jambo naona...!
mwalluuuuuuuuuuuuuuuuuuu njoo mnieleze mimi niliwafanya nini ninyi tafadhali!!!!nilikuwa bado mduchuuuu....ila nilikuwa anchipukia kama huyu #teambazaziJR Mentor lol
hahahaha lipo tena kubwa tu
Pimbi ana Gundu hadi Leo