SOCIOLOGISTTZ
JF-Expert Member
- Jun 16, 2013
- 2,615
- 929
af nilikua nakatazwa kuyasoma..yatanifundisha tabia mbaya..kwa iyo nilikua nayasomea kwao rafiki yangu...namkumbuka sana madenge,zena na betina..lodi
Ndo kusema ulikuwa unakiuka maagizo ya wazazi.......eeeh?
Mapung'o alipata mke kwa kufunga
Mapung'o alipata mke kwa kufunga
!
!
wapi mzee meko
Mapung'o alikuwa kwenye gazeti la Bongo
enzi izo tulikua tunasema,sheria zimewekwa ili zivunjwe..hata ivo sani haikunifundisha tabia mbaya
Mseme alokufundisha tabia mbaya tumchape...!:flypig:
wale sidhani kama ugomvi wao utakuwa umeisha
dunia na wakazi wake
Kitambo jomba....wakati huo mzee meko akiwa na bush stars wakiwafunga born town....boooonge la mechi.