Picha: Maalim Seif Akimuhani Mama wa Marehemu Asha Bakar Makame

5525

JF-Expert Member
Apr 6, 2014
5,412
6,279
12439130_1104833049526830_8711759648701649630_n.jpg

Mg.jpg
 
Eti CHADEMA wao na Lowassa hawakuhudhuria msiba wa Marehemu Letisia Nyerere wakati alikuwa MBUNGE wao wa viti maalum hadi bunge lilipovunjwa mwaka jana. Huyu Mama alikuwa amewakosea nini? Sio UTANZANIA huu.
 
maalim hakwenda kuzika , alikwenda kumfariji mama mzazi wa marehemu , leticia alihama chadema kwa manjonjo mengi na kuhamia ccm , msiba ulitekwa na ccm , cdm ingeenda kumhani nani kwenye msiba wa kisiasa ?
 
Ameenda kuthibitisha kama ni kweli, hivi bado hajazikwa tu, wanasubiri nini, maana dini hairuhusu maiti kukaa muda mrefu bila kuzikwa
 
CCM wamemkacha huyu marehemu na hata kutangazwa ilitokea kwenye mitandao ya kijamii.
 
Eti CHADEMA wao na Lowassa hawakuhudhuria msiba wa Marehemu Letisia Nyerere wakati alikuwa MBUNGE wao wa viti maalum hadi bunge lilipovunjwa mwaka jana. Huyu Mama alikuwa amewakosea nini? Sio UTANZANIA huu.
Mkuu jitahidi sana ujinga wako usionekane mbele za watu
 
Eti CHADEMA wao na Lowassa hawakuhudhuria msiba wa Marehemu Letisia Nyerere wakati alikuwa MBUNGE wao wa viti maalum hadi bunge lilipovunjwa mwaka jana. Huyu Mama alikuwa amewakosea nini? Sio UTANZANIA huu.
Hujuwi wengine siasa na visasi
Hawaelewi siasa sio uadui wala chuki ni hoja tu
 
Eti CHADEMA wao na Lowassa hawakuhudhuria msiba wa Marehemu Letisia Nyerere wakati alikuwa MBUNGE wao wa viti maalum hadi bunge lilipovunjwa mwaka jana. Huyu Mama alikuwa amewakosea nini? Sio UTANZANIA huu.

Timming ya "Uyuda Iskariot" wake ulitengeneza mawaaa na kuwakwaza makamanda katikati ya kipindi tete cha mapambano! APUMZIKE KWA AMANI; Luticia!
 
maalim hakwenda kuzika , alikwenda kumfariji mama mzazi wa marehemu , leticia alihama chadema kwa manjonjo mengi na kuhamia ccm , msiba ulitekwa na ccm , cdm ingeenda kumhani nani kwenye msiba wa kisiasa ?
Maalim amekwenda hadi makaburini kuzika. CHADEMA na Lowasa wao walikuwa wanakimbia kukutana uso kwa uso na Magufuli/Jakaya. WATANZANIA hatujafikia hatua hii.
 
Eti CHADEMA wao na Lowassa hawakuhudhuria msiba wa Marehemu Letisia Nyerere wakati alikuwa MBUNGE wao wa viti maalum hadi bunge lilipovunjwa mwaka jana. Huyu Mama alikuwa amewakosea nini? Sio UTANZANIA huu.
so ulihudhuriwa na wana CCM Wenzake
 
Back
Top Bottom