Ojuolegbha JF-Expert Member Joined Sep 6, 2020 Posts 1,773 Reaction score 1,174 Feb 25, 2025 #1 ASANTE LUSHOTO🇹🇿
GEBA2013 JF-Expert Member Joined Feb 22, 2014 Posts 6,333 Reaction score 9,437 Feb 25, 2025 #2 Wamejaa wanafunzi na waliobebwa na magari. CCMimebaki na maskari na watendaji wa vijijiji na baadhi ya walimu hopeless
Wamejaa wanafunzi na waliobebwa na magari. CCMimebaki na maskari na watendaji wa vijijiji na baadhi ya walimu hopeless
G goodluck5 JF-Expert Member Joined Jan 8, 2014 Posts 9,103 Reaction score 15,613 Feb 25, 2025 #3 Wasanii gani walitumbuiza, weka pics zao mkuu.
Mvinyo mpya JF-Expert Member Joined Aug 24, 2013 Posts 3,870 Reaction score 9,447 Feb 25, 2025 #4 Campaign zimeanza?
Shimba ya Buyenze JF-Expert Member Joined Dec 22, 2014 Posts 183,580 Reaction score 1,105,917 Feb 25, 2025 #5
CHIEF PRIEST JF-Expert Member Joined Dec 13, 2021 Posts 22,041 Reaction score 43,601 Feb 25, 2025 #6 Hivi huko JW hakuna vijana wazalendo aina ya Captain Ibrahim Traore wakatuondolea huu usanii?
Mchizi JF-Expert Member Joined Apr 23, 2009 Posts 3,087 Reaction score 7,602 Feb 25, 2025 #7 CCM inatia huruma sana, yaani chama tawala ndo hakina ushawishi bila wasanii?
BUSH BIN LADEN JF-Expert Member Joined Mar 16, 2019 Posts 9,187 Reaction score 20,940 Feb 25, 2025 #8 Acha mambo ya kifara man, next time ukiweka picha za mkoa wa Tanga tuwekee ile milima
Numbisa JF-Expert Member Joined Dec 12, 2016 Posts 348,985 Reaction score 1,252,329 Feb 28, 2025 #9 Duh