Kiboko ya Mazwazwa
JF-Expert Member
- Feb 22, 2026
- 1,961
- 3,518
Baada ya kuumbuliwa wale majaji wa maelekezo kule Lushoto kuhusiana na hukumu yao kuwa wanaandaa hukumu kwa kusaidiana na magenge ya wahalifu ya CCM, je tutegemee kubadili gear kwa kuwa deal hasi been discovered.