Ama kweli desparate times calls for desparate measures! Jamaa amechanganyikiwa hadi anaomba kura kwa watoto wadogo..huyu akiendelea hivi huwezi kushangaa anaomba hadi wanyama wampigie kura ya ndiyo
Alienda kuomba kura tena?
Hivi ni lini mimi nifah nitapata bahati ya kushikwa mkono na rais wangu kipenzi Lowassa?
Nimewaonea wivu sana hao watoto!
Alienda tena kuomba kura kwa warutheli nini? huyo mzee asituletee udini hapa tanzania ni moja, na watanzania ni wamoja pia. udini, ukabila, ukanda kamwe tusiupe nafasi
Aisee!hiyo picha feki- haki ya mungu hao watoto ni wa Connacry tena mwaka 1990 si unaona Lowassa alikua haumwi
Ndio, Leo alisema wazalendo wenzake tumchague kwa kura za kutosha ili awe Rais wa kwanza Mzalendo!Alienda kuomba kura tena?
Nilivyokusoma kisaikolojia, unaonyesha wazi kuwa umewaonea wivu hao watoto, unatamani wewe ndiye ungekuwa mtoto ushikwe mkono na Rais!Ama kweli desparate times calls for desparate measures! Jamaa amechanganyikiwa hadi anaomba kura kwa watoto wadogo..huyu akiendelea hivi huwezi kushangaa anaomba hadi wanyama wampigie kura ya ndiyo
Alienda kuomba kura tena?
Alienda kuomba kura tena?
Kumbe kanisani watu wanaenda kuomba kura?
Alienda kuomba kura tena?
Alienda kuomba kura tena?
Alienda kuomba kura tena?
Kusali kwa kujionesha ni haramu kwa Mungu