Mshana Jr Platinum Member Joined Aug 19, 2012 Posts 376,454 Reaction score 872,087 Oct 11, 2015 #2 Earthmover said: Click to expand... Nusu tu ya hawa wakimpigia Kura inatosha kupeleka kilio na aibu kubwa ccm
Earthmover said: Click to expand... Nusu tu ya hawa wakimpigia Kura inatosha kupeleka kilio na aibu kubwa ccm
Pascal Mayalla Platinum Member Joined Sep 22, 2008 Posts 59,996 Reaction score 135,201 Oct 11, 2015 #3 Earthmover said: Click to expand... Huu ni muendelezo tuu wa hii [h=3]Hii 'Vox Populi' ni 'Vox Dei' Kuhusu 'Jiwe Walilolikataa Waashi Litafanywa Kuwa Jiwe Kuu la Pembeni!.[/h]Pasco
Earthmover said: Click to expand... Huu ni muendelezo tuu wa hii [h=3]Hii 'Vox Populi' ni 'Vox Dei' Kuhusu 'Jiwe Walilolikataa Waashi Litafanywa Kuwa Jiwe Kuu la Pembeni!.[/h]Pasco
E Earthmover JF-Expert Member Joined Sep 28, 2012 Posts 26,012 Reaction score 25,353 Oct 11, 2015 Thread starter #4 Pasco said: Huu ni muendelezo tuu wa hii Hii 'Vox Populi' ni 'Vox Dei' Kuhusu 'Jiwe Walilolikataa Waashi Litafanywa Kuwa Jiwe Kuu la Pembeni!. Pasco Click to expand... .....Mkuu Pasco Lowassa tayari ni Rais Mungu anatenda miujiza !!!
Pasco said: Huu ni muendelezo tuu wa hii Hii 'Vox Populi' ni 'Vox Dei' Kuhusu 'Jiwe Walilolikataa Waashi Litafanywa Kuwa Jiwe Kuu la Pembeni!. Pasco Click to expand... .....Mkuu Pasco Lowassa tayari ni Rais Mungu anatenda miujiza !!!
wembeee JF-Expert Member Joined Jan 16, 2015 Posts 2,708 Reaction score 1,362 Oct 11, 2015 #5 Lowasa prezdar
E Earthmover JF-Expert Member Joined Sep 28, 2012 Posts 26,012 Reaction score 25,353 Oct 11, 2015 Thread starter #6 .... ....Hii Nguvu huwezi kushinda nayo " THE POWER OF GOD" !!!!
HIMARS JF-Expert Member Joined Jan 23, 2012 Posts 73,322 Reaction score 103,593 Oct 11, 2015 #7 Kuna mbweha walidai kuwa Lowasa hachomekei, jana kachomekea haya semeni tena.... CCM ni wajinga sana. Na mwaka huu mnatoka tu,
Kuna mbweha walidai kuwa Lowasa hachomekei, jana kachomekea haya semeni tena.... CCM ni wajinga sana. Na mwaka huu mnatoka tu,
Moi Dinya JF-Expert Member Joined May 29, 2014 Posts 1,296 Reaction score 826 Oct 11, 2015 #8 mpiga picha ulipiga nusu ya upande tena kushoto mwa jukwaa karibu na hiyo amazoni hotel... kumbukumbu ulikwa ni uwanja wa mpira na hata nusu haukufikq
mpiga picha ulipiga nusu ya upande tena kushoto mwa jukwaa karibu na hiyo amazoni hotel... kumbukumbu ulikwa ni uwanja wa mpira na hata nusu haukufikq
HIMARS JF-Expert Member Joined Jan 23, 2012 Posts 73,322 Reaction score 103,593 Oct 11, 2015 #9 Moi Dinya said: mpiga picha ulipiga nusu ya upande tena kushoto mwa jukwaa karibu na hiyo amazoni hotel... kumbukumbu ulikwa ni uwanja wa mpira na hata nusu haukufikq Click to expand... Unafiki na chuki sio kitu kizuri sana, unataka sema kuwa watu wote walipoga nusu uwanja ili iweje sasa? Lowasa anapendwa kuliko CCM
Moi Dinya said: mpiga picha ulipiga nusu ya upande tena kushoto mwa jukwaa karibu na hiyo amazoni hotel... kumbukumbu ulikwa ni uwanja wa mpira na hata nusu haukufikq Click to expand... Unafiki na chuki sio kitu kizuri sana, unataka sema kuwa watu wote walipoga nusu uwanja ili iweje sasa? Lowasa anapendwa kuliko CCM
Ellyson JF-Expert Member Joined Nov 13, 2010 Posts 1,714 Reaction score 405 Oct 11, 2015 #10 Mafisi emu wakiona hivi wanatamani ardhi ipasuke wazame