Diva Beyonce
JF-Expert Member
- Mar 6, 2014
- 12,913
- 11,292
![]()
Wajameni, wahurumieni hao watoto wadogo. Hizi "nyomi" bado hamjatosheka nazo?
Kwani hawana haki ya kwenda kumuona raisi wa awamu ya tano. Mgombea wenu tatizo nyota
![]()
Wajameni, wahurumieni hao watoto wadogo. Hizi "nyomi" bado hamjatosheka nazo?
Moderator na Invisible..... Saidia heading hapo...
Wataiyacha hivyo kwa muda, wewe si umewakorofisha wenye jukwaa lao
Haya, lakini sipati picha kama watoto hawa wangehudhuria mkutano wa "upande wa pili." Mandhari wamehudhuria mkutano wa Lowassa basi sio mbaya.Kwani hawana haki ya kwenda kumuona raisi wa awamu ya tano. Mgombea wenu tatizo nyota
Mbeya anaenda lini?
Haya, lakini sipati picha kama watoto hawa wangehudhuria mkutano wa "upande wa pili." Mandhari wamehudhuria mkutano wa Lowassa basi sio mbaya.
Unawaona hao watoto wadogo mstari wa kwanza lakini?