Nadhani ameliwa na "nyomi", ingawa kuna watoto wadogo kibao.Ameliwa nini?
Zanzibar na mombasa wataelewa vingine kichwa cha habari. Aliwa?
Hahahahaha...
Ratiba hii hapa, mbeya itatoka mda si mrefuu
Huyu Moderator ni MwanaCCM haiwezekani Zaidi ya Nusu saa nzima umeombwa uitoe bado ipo
Kwani hawana haki ya kwenda kumuona raisi wa awamu ya tano. Mgombea wenu tatizo nyota
Ingekuwa hawa watoto wamehudhuria mkutano wa Magufuli sijui kama ungekumbuka hiyo historia ya Tanganyika.Mashahidi wa Mabadiliko,tafuta picha za enzi ya uhuru wa Tanganyika uone watoto waliokuwepo.
Vipi wanakukera?Unawaona hao watoto wadogo mstari wa kwanza lakini?
Masha ndani,, huyu Lowassa bana mbona unawakimbiza watu sana, hebu punguza aiseeee.
Magufuli kapumzika tena siku ya leo
Maana hicho kichwa cha habari kwa wale wapambe wa upande wa pili wanaweza kukitolea tsfsiri ya design ya ashakum si matusi.
Ratiba hii hapa, mbeya itatoka mda si mrefuu
Sina matatizo hata kidogo. Endeleeni kutengeneza "nyomi", hata ikibidi kutumia watoto wadogo.Vipi wanakukera?
kama Daudi alimshinda goliath kwa kombeo na jiwe,basi ni hakika Magufuli atamshinda Lowassa na kuwa Rais wa awamu ya tano.God is able.
Ameliwa nini?