brighton chuwa
Member
- Sep 12, 2015
- 31
- 7
Leo Mgombea Urais wa Jamhuri kupitia UKAWA katembelea Wilaya ya Mwanga.
Viroja vyatawala.
1. Kashuka kwenye Chopper hapa Usangi. Kaenda kuweka shada la maua Kaburi la Mzee Kisumo. Kashindwa kufika kaburini. Karudi uwanjani Kashindwa kupanda jukwaani. Kashindwa kupungia wananchi waliokuja kumsikiliza. Kaingizwa kwenye Chopper kaondoka.
2. Wananchi Kifula Ugweno wamngojea hakutokea.
3. Wananchi wamngojea Mwanga mjini hakutokea. Badala yake hasira zatawala wafuasi wa NCCR - MAGEUZI na CHADEMA watwangana makonde, wapotea njia wengi wakimbilia CCM .
Duniani kuna mambo..
mge Nani anakubebea akili wewe Lowassa hajavaa nguo ya kijani acha ujuha
Ana color blindness ya kipekee.lazima shule ulifeli saana maana hata rangi hujui inasikitisha sana au ndio ukipofu wa mahaba ya kijani
Utu ni kitu kizuri sana hata kama wewe ni mzima hapo ulipo mshukuru Mungu kwa uzima wako na jua mdomo huumba kuna siku wewe mwenyewe au mzazi wako au ndugu yako wa karibu atapatwa na janga kama hilo sijui utamkimbia au utakuja kwenye mitandao kumuanika kama unavyofanya hapa
Hakuna aombaye ugonjwa wala hakuna mwenye guarantee na maisha yake kuwa atakuwa mzima mpaka siku ya kufa kwake
Ila unapomnyooshea mwenzako kidole kimoja jua viko vinne vinarudi kwako kukuhukumu
Halafu kuna mtu atasoma uongo kama huu na kuuamini kabisa. Hivi kwanini ukawa hatuna propaganda chafu kama maccm?Leo Mgombea Urais wa Jamhuri kupitia UKAWA katembelea Wilaya ya Mwanga.
Viroja vyatawala.
1. Kashuka kwenye Chopper hapa Usangi. Kaenda kuweka shada la maua Kaburi la Mzee Kisumo. Kashindwa kufika kaburini. Karudi uwanjani Kashindwa kupanda jukwaani. Kashindwa kupungia wananchi waliokuja kumsikiliza. Kaingizwa kwenye Chopper kaondoka.
2. Wananchi Kifula Ugweno wamngojea hakutokea.
3. Wananchi wamngojea Mwanga mjini hakutokea. Badala yake hasira zatawala wafuasi wa NCCR - MAGEUZI na CHADEMA watwangana makonde, wapotea njia wengi wakimbilia CCM .
Duniani kuna mambo..
Lowassa ahani Msiba wa Mwanasiasa Mkongwe nchini, Marehemu Mzee Peter Kisumo, Kijijini kwake Usangi, Mwanga Mkoani Kilimanjaro....
Kumbuka siku ya mazishi alizuiwa na jeshi la polisi...
Katika hali isiyotegemewa Leo mh Lowasa ameenda Mwanga kuhani msiba wa kada wa ccm mh peter kisumo akiwa rasmi kwenye sare ya Ccm yaani shati la kijani. Usisahau kwenu Lowasa ni dhahiri baada matokeo ya uchaguzi kuonesha umeshindwa utarudi nyumbani ccm.
Ha Ha ha. Mweeee! Naamini watatekeleza ushauri wako:A S wink:Zile za kuhani kule lushoto kwa mwanachama wake nazo wekenu tuone
Bhange ina rangi gani? mwenye picha tafadhari atuwekee.Hivi kila rangi ya kijani ni CCM?