Picha: Lowassa ahani msiba wa Peter Kisumo

Picha: Lowassa ahani msiba wa Peter Kisumo

Ocampo four

JF Senior Expert Member
Joined
Feb 28, 2014
Posts
5,789
Reaction score
2,159
Lowassa ahani Msiba wa Mwanasiasa Mkongwe nchini, Marehemu Mzee Peter Kisumo, Kijijini kwake Usangi, Mwanga Mkoani Kilimanjaro....

Kumbuka siku ya mazishi alizuiwa na jeshi la polisi...
 
Attachments

  • 1444147675173.jpg
    1444147675173.jpg
    80.6 KB · Views: 8,298
  • 1444147688890.jpg
    1444147688890.jpg
    125.3 KB · Views: 6,037
  • 1444147703930.jpg
    1444147703930.jpg
    45.9 KB · Views: 9,691
  • 1444147716590.jpg
    1444147716590.jpg
    51.5 KB · Views: 13,915
Zile za kuhani kule lushoto kwa mwanachama wake nazo wekenu tuone
 
Katika hali isiyotegemewa Leo mh Lowasa ameenda Mwanga kuhani msiba wa kada wa ccm mh peter kisumo akiwa rasmi kwenye sare ya Ccm yaani shati la kijani. Usisahau kwenu Lowasa ni dhahiri baada matokeo ya uchaguzi kuonesha umeshindwa utarudi nyumbani ccm.
 
slaa juzi alivaa nyekundu kwa hiyo sio ccm hahah hahh
 
Bora ww umezuru kwa kuwa ulizuiwa kwny mazish bt kuna jamaa miez hii mara wapo kwny kabur la nyerere mda mwngn wapo kwa sokoine
 
Katika hali isiyotegemewa Leo mh Lowasa ameenda Mwanga kuhani msiba wa kada wa ccm mh peter kisumo akiwa rasmi kwenye sare ya Ccm yaani shati la kijani. Usisahau kwenu Lowasa ni dhahiri baada matokeo ya uchaguzi kuonesha umeshindwa utarudi nyumbani ccm.
lazima shule ulifeli saana maana hata rangi hujui inasikitisha sana au ndio ukipofu wa mahaba ya kijani
 
Back
Top Bottom