Picha: Lowassa afanya kufuru Babati Mjini

viva lowasa ndugu zangu wapenda mabadiko na maendeleo ya nchi yetu tz naomba tuzid kumuombea kwa mungu ili azid kumlinda maana kunawatu hawampend wana msema vibaya na ninajua wanafanya ivyo kwa maslah yao binafsi tumuoombee na tuka pige kura na tulinde kura zake ili awe raisi wetu wa awamu ya tano
 
Uncle Zamiluni Zamiluni nimeshakushtukia una harufu ya maCCM!
Hata sina hamu na wewe kabisaaa,subiri tukirudi kutoka kwenye mabadiliko nitakupitia twende kushuhudia Lowassa akiwa anaapishwa.
Aunty mdogo.... usinidhanie !! wewe hauna elimu L ghaibu !! hadi unishtukie.... vyama na mie wapi na wapi?.... nasema tena huko tuendako kuna kaburi linatusubiria tu !!!
 

Tutamchagua hivyo hivyo, nyie endeleeni na matusi maana ndio sera pekee iliyobaki nayo ccm.
 
Jaman lowassa mbona kawa kijana ghafla Leo monduli? Kaongea vizuri hadi raha

Nilidhani ni macho yangu tu...kumbe hata wewe umeona. He looked strong and healthy. Inawezekana ni Mungu anawajibu waliomwita marehemu.
 
Hadi raha kuona watu kila kona wameyakubali mabadiliko na wanasubiria tu kupiga kura za kutosha kuwaonyesha mafisadi wa ccm mwisho wa kutofanya malofa ni tarehe24 October 😛eace:
 

Thread hii yanimalizia MB najikuta narudia mara kadhaa sasa zaidi ya mara kumi!!

Lowassaaaaahhhhhhh!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!>>>>>>>>>>>>>>>>>>>.........................
 

Thread hii yanimalizia MB najikuta narudia mara kadhaa sasa zaidi ya mara kumi!!

Lowassaaaaahhhhhhh!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!>>>>>>>>>>>>>>>>>>>.........................

Mabadiliiiiiiiiiiiikooooooooooooooooooooooooo......
VIVA UKAWA!!!!
 

Ha ha ha
 
hapo hakuna......

Hapo hakuna futui.

the comedy

diamond

yamoto band

barnaba

ally kiba

na wengine wengi.....


sasa najiuliza Ccm watashindaje kwa Umma kama Huu....amin nawambieni Ukawa wakiwa Makini kura Zisipo ipiwa Lowassa atashinda kwa 70%



Kura za ccm zamu hii hazitajaa hata kiganja, hao wanaowasindikiza majukwaani huenda pia wako kwa Edo, huko wanafata mpunga tu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…