dah yani EL asipochukua nchi,hyo cku nitauzunika sana na kutoa machozi vibaya mno...
Ila naamin kura yangu ndio ya ushindi kwa Lowasa,nitapiga na kulinda kura hyo mpaka matokeo yatakapo bandikwa
Tujitokeze kwa wingi oct25 makamanda tuyang'oe maccm
Mtwara ni kaskazini??? mbeya je? iringa??Lowassa mjinga sana anakomaa na kaskazini anadhani wote malofa siyo.atashangaa kitakachompata.
Hakuna malalamiko, maana kuiba hamuwezi, na lowasa anaingia ikulu.baada ya uchaguzi hatutaki malalamiko ooh tumeibiwa kura.
Lowassa mjinga sana anakomaa na kaskazini anadhani wote malofa siyo.atashangaa kitakachompata.
Unashangilia virusi achunguzwe akili
Halafu hapo hamna msanii hata mmoja, duh! Kweli mmasai kakasirika, punguza dozi mzee utamuua makomeo naleo asubuhi alikuwa anatibiwa muhimbili
Unashangilia virusi achunguzwe akili